@luckytreey: #tiktoktanzania🇹🇿tiktokkenya🇰🇪🇺🇬🇿🇼💯i

Goodluck
Goodluck
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 16:56:54 GMT
110663
2454
437
232

Music

Download

Comments

thawer38
Thawer Qussa ✌️ :
sadaka , wazazi,kula maisha ,kula maisha kula maisha,sadaka ,sadaka, wazazi
2026-09-19 06:31:08
80
its_madellinetz
its_madellinetz :
Mbona na wanaume huwa wanaowa tu soon
2026-09-19 05:50:25
17
missnjure
Therealirene :
Waliona live yake kwa Hellen collection tujuane maan Ndo tunajua ukwl
2026-09-18 19:17:31
124
user8322484955260
sungura wakijan :
hata yeye angebaki angekwishaoa jaman aliyeenda kaenda
2026-09-19 08:21:36
9
qute_naa0
qute_naah🍃🍒 :
Ni tangazo la nguo jamani🙌🏾🙌🏾🙌🏾
2026-09-18 19:36:14
50
mwafrica101
Mwafrica🇹🇿 :
bro ukiweza kuwa single ni baraka tosha kwa sasa
2026-09-18 19:57:48
23
regon173
r🇹🇿🇹🇿 :
Yani mm nagombana na mama yangu....anataka nioe,mm siion wa kumuoa .
2026-09-18 19:52:13
20
baraka.tisa9
Baraka Tisa9 :
wanawake xo w2
2026-09-19 04:49:18
1
robeni.sumuni
MR UNSTOPPABLE FX :
duu???? people are wicked on this planet earth😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-19 05:57:11
2
magie0119
Bint kinyunyu🌹❤️ :
Kwan nyie wanaume huwa mnafanyaje tukifark😂
2026-09-19 04:27:11
5
iamkc984
Kachala98💎 :
kwishq mimi
2026-09-19 04:09:41
1
keny7652
KENEDY AYO :
Ndo maana mm nasema siwez kujitoa kwa ajili ya mwanamke mtu ambayae hata nikifa leo yeye bado ataishi tu tena bila tatizo lolote mm hapana
2026-09-19 02:17:38
21
iano_255
Ian | Tanzania🇹🇿Safari Guide :
kwamba Msisha yataendelea bila wewe, yu😂 berra woch yua back
2026-09-19 05:20:08
5
merory787
merory787 :
The truth ni kwamba she moved on hata kabla ya mume kufariki let’s not forget that
2026-09-18 21:23:43
2
semora93
boss :
tusijitowe sana kwa watu.watu wanawatu wao👋
2026-09-18 19:52:13
10
lilysamora767
LILY-TRENDS-OUTFIT :
Huyu waliachana mapema kabla ya kufa alikua na mahusiano yake
2026-09-18 19:52:29
20
kihanda_magari
KIHANDA MAGARI :
Tumuache mtoto wa watu aishi maisha yake aliyoandaliwa na Mungu, mlitaka aendelee kulia na kukaa upweke mpaka lini? Kabla ya kumsema na kuhukumu je ni watu au nani anaweza kukaa pekee yake milele. Mungu amtie nguvu na kibali cha uzima na ushindi siku zote katika maisha Amina..[Pray]
2026-09-19 05:25:23
5
dennisnyangerayas
deneuro :
mimi niliachana na wangu leo na kesho akaolewa ...ni mbaayaa
2026-09-19 05:35:42
1
elizabethmumbi00
elizabethmumbi00 :
Kaka yangu alikufa kwaajali mwaka jana mwezi wanne 🥺leo mkewe amejifungua mtoto wakike na mwanaume mwengine
2026-09-18 19:12:51
12
naomi.joseph2
naomi joseph :
mungu mwenyewe alisema kifo kiwatenganishe
2026-09-18 19:28:10
5
lnannie02
Annie♥️ :
Kwahiyo asiolewa kisa mwanaume amekufa,
2026-09-19 06:25:32
1
efelis2535
efelis ☺️☺️ :
kwaiy unatak wanaume wajifunze nn sasa
2026-09-19 07:36:15
1
mazee338
mazee338 :
Biashara io acha kuingia kwenye marketing strategy ya mtu 😂😂😂
2026-09-18 22:00:20
1
honeybadgersafari
honeybadgersafari :
Hii la pilipili tunalakujifunza mwanaume tuishi kwa rahaa
2026-09-19 06:48:25
0
ollieoscar0
Lizzy 🩷 :
Khaa ila na nyie muwe mnafuatilia taarifa kwa undani zaidi kabla ya kuposti mwenzenu anadaiwa million 600 huko kwa mambo kama haya 🥺
2026-09-19 08:26:50
0
To see more videos from user @luckytreey, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About