Hapo sasa mumeona ndoa za watu zimetulia mnaanza kuyatafuta 😏
2026-09-18 20:56:29
747
Smash Angles :
hapa nandy anafanana na naya vizuri
2026-09-18 17:33:04
1012
veer dhaheer :
nandy ndo alifanya nikaupenda huu wimbo,
2026-09-18 18:24:05
335
𝐅𝐚𝐡𝒾🌸 :
Huyo aliyemuwekea mike vzr nae ameenda nyie😪😪😪
2026-09-18 21:06:22
91
Her :
ila nandy ni shujaaa mtu anaumwa na akavaa Pete 🫡
2026-09-18 20:36:29
188
Mng’ese girl :
Apa bill alifurahi kinoma
2026-09-18 20:37:49
124
strawberry :
huyo alio weka maik vizur nae amefaliki jmn dunia tunapita
2026-09-19 09:55:02
124
mrs H og👌 :
sio kweli ruge hakufa uo mwaka 2019
2026-09-18 19:11:04
30
neillo - JD♥️ :
ila nandy alimpenda huyu baba😭🕊️
2026-09-18 23:23:10
51
Emmy Iddi :
nani mwingine machozi yamemlenga lenga kama mm☹️☹️
2026-09-18 19:41:49
146
Monica Mhina :
Jaman Ephraim Kibonde, RIP kaka
2026-09-18 19:10:44
19
user9159028375308 :
Nakumbuka hii siku nililia sana kumuonea huruma nandy then next week mungu akajib kwangu the same thing mwanaume anakufa one week kuelekea ndoa na unagundua n mjamzito Mungu fundi bwana🥺