@athanas.zenda4:

zenda mtu kaz.💪👊
zenda mtu kaz.💪👊
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 17:19:46 GMT
41638
1739
275
80

Music

Download

Comments

anget650
SOMADIAN NUNEZ 🇹🇿 EVARA :
no time babu
2026-09-19 00:35:59
3
its.ferion
its ferion :
Wazazi wao huwambii kitu kuhusu CCM 😂
2026-09-18 21:29:08
38
farida.magulu099
farida hair house💃 :
Tishet yake imendikwa no time 🥰🥰
2026-09-19 04:41:39
9
bobsady
Bob wiz45🤬 :
no time
2026-09-19 09:05:52
0
fell7619
FELLY@7619 ❤🙏 :
Usiwatolee maneno makali ongea nao kirafiki, utafamu mengi ukiwatisha hawaongei hao...
2026-09-19 04:30:48
10
elikenzobrain
🌵🌵ELIKENZO 🔥🔥 :
tshirt inajieleza no time😂😂
2026-09-18 20:40:34
1
bizzokepage
Bizzoke :
no time hakuna kitu[Tears of joy]
2026-09-18 22:04:10
3
deviskapinga
Devis Kapinga :
hakikisha wanaenda shule yani wasikutanie
2026-09-18 23:07:50
7
manando.gp5
kijukuu Cha mtume 📌 :
no time tshirts
2026-09-18 21:36:42
0
frahm..a
Frahm..A🇹🇿🌕 :
wote wameulizwa lakini awajalia lakini huyo alie fiwa na Baba ndo kalia Aiseee uwezi kuelewa kwanini uyo mtoto analia😭
2026-09-18 21:42:23
12
shillabackup0
Ashirafu Rwenza :
nimeikubar ii yaan hamna mda uo
2026-09-19 06:17:45
6
venancebenson715
Venance Benson :
punguza meneno makali kama unaweza kuwasaidia wasaidie huwezi jua wanachangamoto gani kwenye familia zao wengine wamekupa zababu zao sasa usiwatolee maneno ya matusi
2026-09-18 21:38:07
26
rajabumohamed269
RAJABU MOHAMED :
Ila msisahau shule zenyewe zinalipisha watoto hela ingawa za serikali kiasi kwamba wengine hawana kipato Cha kuwaudumia watoto wanaamua kuwaacha tu, hata kiona wingi wa watoto hao wasio soma ni wengi inakupa picha ya tatizo ni pesa, shule zetu za msingi zilpaswa ziwe Bure ila zinalipiwa kiujanja ujanja walimu wanajifanyia wanayoyataka Kila kukicha hela huku wanasiasa wanasema Elimu ya msingi ni Bure du😁😁😁😁
2026-09-19 04:18:34
0
noetrav
Mr Traveler :
No time
2026-09-18 19:47:21
9
adammwangia
Adam Mwangia :
elimu ya bongo ni kupoteza pesa na mda kama auna connection ndio mana Kuna NO TIME
2026-09-19 09:21:18
0
ildefons.jully
Ildefons Jully :
hiv n kabila gan hili jmn
2026-09-19 02:53:59
0
user2745149138525
Familiar m2kwao :
Bro haujajua changamoto wanazo pitia majumabani wanako ishi.. hacha kuwaforce
2026-09-19 02:54:42
0
ghulefarah120
Ghule :
jitolee kuwasomesha mungu atakusaidia
2026-09-19 03:10:03
0
le_madame33
Elizabeth :
Sasa kwanini unawafokea hao watoto?? Wao wanakosa gani kwenda kutokwenda shule? Sio sawa kabisa
2026-09-19 06:43:03
0
pamuyi2
bib ayra🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿 :
tunasubilia mlejesho jamani wengi
2026-09-19 02:07:40
0
maselebahebe
MASELE BAHEBE🤣🤣🤣 :
kaka safi sana kwa ulicho kifanya kwa watoto hao.
2026-09-18 23:42:18
0
sefuhg
Sefuhg.(..🔥📍📌..) :
daaah nilikuw hiv hiv
2026-09-18 21:40:36
0
jmwaas1
mwaas :
Sasa serikali ya muungano Ina faida Gani?😳
2026-09-19 04:32:41
0
mr.small033
E_N_G_ official 💍 :
wazazi wamesema sina akili 🤪🤪🤪
2026-09-18 21:46:05
1
lemsi.edisonigmail
Lemsi [email protected] :
kaka upo sahii kuwahoji ila shida unawafokea sana angali sio maakosa Yao brother
2026-09-18 22:07:14
2
To see more videos from user @athanas.zenda4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About