@doctornoel: Nilitengeneza hii video zamani sana before wengi huku Mitandaoni hawajanijua … enzi hizo niliamini nikivaa koti ndo watu watanisikiliza😅 Leo nimepata swali nikaona ni vyema niambatanishe na hii video. Kama kijana ambae upo Medical School au ndo unataka uanze..its important to know this before hand
Bruh I need your mentorship on online content.. am a lab tech
2026-09-18 17:46:47
3
Elly Afya Tips :
But kuwa medical personnel inakufanya uwe na akili ya kutafuta pesa maana akili inachangamka sana, unaanza kuona opportunities kila sehemu.
2026-09-18 17:27:43
14
Derrick :
Neurosurgeons make alot of money and its totally worth all the fuzz
2026-09-18 18:06:35
1
favoured😊 :
naona uongeze saut😂😂 watu hawaelewi 😂😂 tumia mic🎤 watu wasikie 😂
2026-09-19 06:23:02
1
@dpridor~185 :
zungumzia na radiology bc plz
2026-09-19 03:33:05
1
DR ♻️ AKICHWALI _🧿NA VIPODOZI :
SURE UTAJUA MENGI SANA😁
2026-09-18 18:19:28
5
lastory :
ndio maana niko MUST
2026-09-18 17:40:48
5
Verynice :
Kusoma medicine ni kama kufanya investment ambayo una uhakika kabisa ukiiwekea juhudi unavuna mpunga mrefu. Medicine ni njia moja wapo ya kuwa tajiri ila sio njia ya haraka kwaiyo point of correction ilibidi useme kwamba” Usisome medicine kama unataka kutajirika mapema” madokta wana maisha ila mda wa ku show off hasa huku mtandaoni ndo hawana watu wana assume madokta sio matajiri
2026-09-18 20:30:32
1
IM :
anha kumbe madaktri wanasaidia watu bila pesa
2026-09-18 20:24:49
0
hiphop uchwara :
1.8 bana
2026-09-19 00:46:52
0
Mr. B B :
umeongea ukweli sana na elimu hii wapewe watu shuleni kupunguza ugonjwa wa afya ya akili maana madokta wengi wana tatizo la afya ya akili hasa uku kwenye vi polyclinic
2026-09-18 21:21:12
2
Verynice :
Sikubaliani kabisa na huo msemo. Huo msemo umerithishwa tangu enzi na enzi na mmeukariri sana “usisome medicine kama unataka kuwa tajiri” think out of the box doctor nashindwa kuelezea ila huo msemo mmekariri kitu ambacho sio kweli
2026-09-18 20:23:07
0
DR AZUMA :
Medicine ina pesa angalia wapi unauza bidhaa yako
2026-09-18 19:20:15
1
Aidan :
kwelii hakika 🙏🙏....BARAKA PIA UTAZIPATA NYINGI
2026-09-18 18:36:50
1
gabriel_aneth :
Waambie
2026-09-18 17:43:16
1
G. :
watu wanataka hela na heshima tuuu kazi kusaidia watu ni njia ya kuipata hiyo pesa,
2026-09-19 11:05:44
0
Maxwell Maximillian :
napenda sana Civil Engineering na pesa ipo zaidi hata ya udaktari
2026-09-19 10:15:32
0
Com4t🦋💜 :
nyie 😂😂 je dentist?
2026-09-19 09:33:05
0
Kaybelle :
[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-19 10:17:26
0
To see more videos from user @doctornoel, please go to the Tikwm
homepage.