sitasahau kutoka nane nane hadi CBE nilitoa efu 15 🤣🙌🙌🙌
2026-09-18 20:17:24
25
mamy Liiii :
nmemwna classmate wangu laymond
2026-09-20 08:21:02
1
lissah ford :
Kwanza sahizi wanakwambia nauli za buku tulishazisahau🤣🤣🤣🤣
2026-09-19 09:06:01
14
nick steve :
Dodoma unaweza patafta mjini ukapakosa 😂
2026-09-23 15:20:02
1
rachelharleen606 :
kwel kabisa npo dodoma ila boda wanalinga sanaa ukiwafata tu bei yakee
2026-09-18 19:45:00
13
chimmayapple22 :
kuna siku nimepanda boda kutoka CBE naenda VEYULA tumefika Mailimbili Darajani kapaki et sister shuka me nimechoka nataka nikalale chukuwa nyingine nilichokaaa😁🙌
2026-09-20 19:49:56
10
Swagah Tz 🔞 :
😂😂 kwenye machungwa ya muheza apo umenchekesha Ila dodoma😅😅
2026-09-21 20:25:59
1
THE GALAXY :
Nilitoka shabiby terminal hadi chacko ni chako kwa elfu 2[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-19 07:25:02
3
Mr. fixer✍ :
kuna watu watadhani ni content
2026-09-20 12:39:32
2
chibu dee :
ambao tunaishi dodoma tulixhakubaliana sisi wte ni matajiri hakuna kutia unyonge
2026-09-20 19:36:23
2
annamajaliwa461 :
kwetu huko jaman napapenda mpaka naumwa jaman
2026-09-20 16:46:07
1
Pascolina Mgwabi :
😄😄😄😄hio ndo dodoma yetu
2026-09-19 11:36:34
2
♧nyanso store🌾✨️❤ :
apo kweny laki6 sas😂
2026-09-19 06:21:15
1
sharifamohamed183 :
😂😂laki sita bei rahisi sana
2026-09-19 06:49:18
1
It's mome💕💕 :
hahahaha 🤣🤣🤣
2026-09-19 14:18:38
0
MP RIDER🚴 :
SIKUPINGI😂😂😂
2026-09-19 04:16:34
1
it's me JS 💖 ❣️ :
😂😂😂
2026-09-18 17:38:11
0
agiza mchele wa mbeya :
kwan bolt hamna😅
2026-09-23 10:36:24
0
ts_smile_brand :
Hapo umesahau lile la mafundi simu🤣🤣
2026-09-22 05:37:14
1
ibrahvonb :
nilivushwa barabara kwa buku jero😂😂😂
2026-09-19 20:06:07
2
@zuu girl :
mi nilimwambie boda nipeleke machinga akàsema huko haendi boda yake kaiosha😅😅😂
2026-09-22 17:33:05
2
nababy :
boda sikukumbuki jina Ila ulikuwa MC nzuguni secondary miaka iyo me njuka 2likuwa 2nakupenda vp☺️☺️☺️
2026-09-21 20:15:37
3
Raymond :
satt leo mimi wa kwanzaa 🤣🤣🤣🙌🙌🙌
2026-09-18 17:36:11
0
Gee Melody :
😂😂
2026-09-18 19:10:30
0
To see more videos from user @sattyboybackup1, please go to the Tikwm
homepage.