@alphakizzymedia: EXCLUSIVE: NYIMBO ZA KIMATAIFA NA RESEARCH YA SOKO NDIZO ZINANIPA SHOW ZA KIMATAIFA- DIAMOND Msanii @diamondplatnumz amefunguka na Kusema Kuwa Yeye Amekuwa Akiweka Nguvu Kubwa Kwenye Kufanya Utafiti wa Soko la Kimataifa, Lakini Pia Kutengeneza kazi mbalimbali ambazo Zitateka Soko La Kimataifa, Kitu Ambacho Kimemfanya Awezekupata Shows za Kimataifa#viral #fyp #viral?videotiktok😇😇 #viral
uyu mzki ameusoma na anajua mziki unataka nini anaekeza sana kweny mziki ndy maana anazidi kuwa mkubwa kira cku 💯
2026-09-19 08:31:58
1
@Makkondamilc :
mimi ntaka aingie studio yeye solo ,,atoe hit yake peke ake yakuzidi comasava coz ile ni collabo,,mondi bado hujafika international,,wewe utabaki star uku east africa,,na kama anajiamin aende negeria aandae show peke yake tuone kama atajaza ama ata south africa,,
2026-09-19 19:57:17
1
Kidah🤍Professor👑 :
🔥🔥🔥
2026-09-18 17:46:16
0
To see more videos from user @alphakizzymedia, please go to the Tikwm
homepage.