nipo hapa nikitoa hela benki ya fungu la 10 na kodi na kama mtu ananidai nazileta nyumbani kwanza nitaomba Alf sizitoi siku hiyohiyo nitatoa siku 3 mbele ni Mungu tu ananiongoza 🥺😭
2026-09-18 19:56:31
52
It's Billie :
matajiri wengi ndo tunavyofanya hivyo, money is spiritual
2026-09-19 07:39:53
35
hyper ❤️ :
ukiwa unspendelea kutoa sadaka hutapoteza ela hovyo Mungu atakuwekea ulinzi🥰
2026-09-19 10:51:43
29
khadijajuma433 :
kwa Waislamu siri kubwa ni kuto sadaqa tu Allah swt akufanyia wepesi katika rizki zako na kuibariki kipato chako
2026-11-02 02:22:14
2
Blessings collection 🌟 q :
pesa ni roho
2026-09-19 15:10:23
18
Jc-jewellerystore :
Asante kwa somo dear 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2026-09-20 14:31:18
5
Nana♥️ :
Yani ukipata pesa unatamani utumie tuuuuuuu badae unajuta🥺🥺🥺🥺
2026-09-21 10:47:41
5
prophet firrie gunla :
ni sawa, kabisa ila kama hapo nyumbani huna roho ya pesa, madhabahu, the feminine energy, damu ya mwanamke itabomoa, itatoka, hilo ni somo zito, uko sahihi kabisa, is either god or mammon
2026-09-18 18:07:56
9
nasha_gifts_events :
Kama ipo bank au kwenye simu naitoa naiweka nyumbani alafu nairudisha bank??
2026-09-24 18:54:44
7
Bonnie George :
thanks madam
2026-10-28 06:32:42
4
heriehealthly product :
sijawai fundishwa ila nilikuwa nafanya ivyo always na nimekuwa nikiwaambia watu pesa lazima ifike home kwanzaaaa
2026-10-30 16:39:56
4
Mchaga wa Marangu :
msikilizen uyuu dada itawasaidia
2026-09-19 07:04:41
10
I am born again :
Kwa hizi transactions za simu tufanyaje my dear?
2026-09-18 22:21:23
10
Cheupe wa Baba :
Bora da Sophy umekuwa upande wangu maana me nikiwaambiaga watu nikitunza Hela nyumbani zinavuta zingine hawaniamini
2026-10-23 20:18:59
6
alltime_stylesaloon :
Kwa hawa wafanyakazi ambao wanaingiziwa ela bank moja kwa moja je??
2026-09-20 23:05:38
4
Joy :
Nimejicheka vip
2026-09-19 19:41:19
4
Nittah fresh juice🥤 :
Thank you sis! Nilianzaga kufanya hv yooh ni kweli
2026-09-22 06:44:02
5
Magreth fashion store :
Asante kwa kutuelekeza Mungu akubariki
2026-09-19 19:16:21
5
Bee ♈️🦋 :
Kwel kabisa mimi miaka miwili nyuma nikiwa na pesa sioni inakoenda au haiongezeki hata nijibane vip kabla ya kupokea mwaka 2025 ule usiku wa kupokea mwaka nkaskia moyoni kwamba nichukue ela zangu zote ilikuwa kama laki 6 ambayo yote ingeishia kwenye ada ya mtoto niliongea na ile pesa nkasema hautakauka mikononi mwangu uwe na utulivu kwangu kwanzia hio siku ni ushuhuda mpaka leo🥰🥰🥰
2026-10-04 12:32:09
5
kezia msemo :
nimekuelewa sanaaa dada
2026-09-29 18:39:18
2
Quinn🇨🇦_007 :
Asante dear 🥰
2026-09-19 13:34:46
2
🦋Toto lee💙 :
Nikweli ninaushuhudaa na hili jamboo❤️
2026-10-01 15:31:08
2
LissLaMode :
True my sis🥂
2026-10-29 18:39:01
2
Esther collection :
sasa KUHUSU hawa wanao tuwekea Kwa 🏧
2026-09-21 08:07:25
2
Natasha_nana :
Wakati ikakaa kwenye simu ndo unatembea nayo muda wote jamani
2026-09-22 13:18:47
2
To see more videos from user @sophyntibah, please go to the Tikwm
homepage.