@iam_abubakary: Just a reminder, No.4 — it's important to learn how to play games properly. Sometimes, it’s the small details that make all the difference. Anyone else working on their game skills lately?#batmanjau #no4 #bot @Shizzo voice

Abubakary
Abubakary
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 18:04:49 GMT
4541
330
47
6

Music

Download

Comments

elishageorge307
SMILE GB :
hamna m2 ana revive kama namba4 me nawapa respect
2026-09-28 16:33:19
0
omary45262
Omary :
Kaka inaangalika me nshaingia km nmb 4 nanimetoka MVP
2026-09-18 18:10:44
1
saidasad819
Epic man :
awataki ku like watu jau[Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-18 18:09:13
1
kanyo1999
𝖐𝖆𝖓𝖞𝖔☤ :
batman jau sawa ila 4 tuna lifestyle yetu bro 😅
2026-09-18 18:33:48
1
saidjuma218victortzoneom
TF丨BLACK LOBBY and 🇹🇿to🇰🇪 :
bro kuwa nakauri nzuri 😁😁 nakupaonyo njoo 1vs1
2026-09-25 18:19:44
2
muonekano89
MUON٩(◕‿◕。)KANO :
ngoja nikupe Siri kuhusu namba 4 .....namba nne kazi yake ni kuwaludisha enemy walio walio uwawa yeye ndio muokoaj wa enemy walikwama kwenye zone wao ndio madereva .. ndio mana mda mwingi wao hawashambulii wanakaa nyuma Ili tusife wote wakati mmoja ...ukiona namba 4 hafanyi hivo bc juwa hajuwi mana ya hio namba ...!!
2026-09-19 13:48:08
2
ngele839
👑Ngëlè✓® 👑 :
yaani Kawa jau aid kwenye gem bro una feli
2026-09-18 19:18:44
1
worldsports112
sports life :
bro ivi kati ya shang chi na captain America nani ni mkali katika combat
2026-09-20 21:49:42
0
master_prochi_machenja3
Mr Chiwila Jr🔥 :
yote Kwa yote mtu ambae ajui namba zinapangwaje aniambie
2026-09-20 05:49:10
0
mrbizzo_introvert
☠︎༒MʀBɪᴢᴢᴏ༒☠︎⛎ :
𝐛𝐚𝐭𝐦𝐚𝐧 𝐣𝐚𝐮𝐮𝐮😂
2026-09-22 05:33:50
0
i.am_4real
Silentboy_01 :
cheza wewe tukuone
2026-09-26 12:27:41
0
jmovies74
Joel22 :
hamniwezi wakuu mi Ndo huy namba 4 ila nakua MVP mbele ya hao wanajiita mapro
2026-09-25 15:16:30
1
martix.xhide
ROLL OVER TIPS :
mim uyo mi kazib yangu kuzurula tu
2026-09-27 09:59:12
0
the.ruska.roma21
@The Ruska Roma :
raya ya namb nne huwaga tunajua mitaa yote
2026-09-27 14:18:14
0
novalkid_006
06_عبدالرحمن :
nimejionea mwenyewe hapa😂😂😂
2026-09-25 22:19:42
0
manhustler85
manhustler :
😂😂😂😂😂 BATMAN JAU
2026-09-24 09:46:53
0
ryan.nunez54
Ryan Nunez :
ndoo maana ndy maana tuna penda kuwa namba 4
2026-09-23 06:33:15
0
jmovies74
Joel22 :
mi namba 4 but huniwezi
2026-09-25 15:13:51
0
user6785665337487
y@sr77 :
hadi free fire
2026-09-21 17:07:00
0
travel.ddd
travel ddd :
number4 ndo huwa anapick dogtag
2026-09-20 21:17:47
0
ismailyabdallah
乄TZ_ONE亗🇹🇿🇹🇿 :
njoo tujalibu 1v1
2026-09-28 05:51:59
0
kadabra221
kadabra :
ujuwi kazi ya namba 4 😂
2026-09-23 10:24:27
0
movies_tipstz
movietips_tz :
Hadi Delta force ni hivohivo tu, Tena utakuta ni medic upo down aji kukusave anazurula tu😅😂
2026-09-21 08:26:25
0
the.smile.poison
✯𝕋ℍ𝔼𝕊𝕄𝕀𝕃𝔼ℙ𝕆𝕀𝕊𝕆ℕ𓅓✯ :
💪💪
2026-09-21 17:36:02
0
spokesman31
SPOKESMAN isq :
yaani batman anaweza akakumaliza kwenye game😅
2026-09-18 21:59:55
0
To see more videos from user @iam_abubakary, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About