@shedy_mobile: #foryou #iphone #tiktoktanzania🇹🇿 #iphone18promax

SHEDY MOBILE ❄️
SHEDY MOBILE ❄️
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 18:05:36 GMT
83378
1239
75
78

Music

Download

Comments

lizylee85
lizylee :
kiwanja kimepata ufa😁
2026-09-21 06:29:05
13
pretty.nana070
🦋nana🤪 :
nakwann hamtii kava
2026-09-19 11:29:11
3
africanachilamwina
AFRICANA CHiLAMWINA👣💸💸 :
kumbe kiwanja kina vunjika😂😂😂
2026-09-20 14:22:04
12
flola.mwilongo
flola mwilongo :
mmi, sija wahii fikiliaa kununua simu izooo,, yani nitembeee, na kiwanjaa mkononii, hapanaa 😳😳😳😳
2026-09-21 12:03:07
5
1ts_momo
It's Momo :
Heart attack ya mwaka🤣🤣🤣
2026-09-18 20:29:22
4
user2412167568359
Caroline :
viwanja vyangu vi2 vimevunjika Allah 😭
2026-09-20 21:51:25
8
its.clarise01
It's felister 🌸💎❤️ :
me nilijua tu ndo maana sijanunua bwana😂😂
2026-09-20 15:19:28
4
homebymissndito
MISS NDITO :
ile cm yetu shedy ya kufanyia topup wameniibia wahuni bana
2026-10-14 04:05:07
0
fatuma.mohamed411
fatuma :
kwanini umezubaa
2026-09-24 11:09:42
0
samwelimussa630
#Mr MONEY 💰$ :
ivi na wenzangu zipo hivi ama ni yangu ya laki na hamsini
2026-09-24 15:56:38
1
adoley43
Adoley🧡🧡 :
ilikuwaje mwenetu
2026-09-18 19:50:10
3
msafwa_toleo_jipy
msafwa_toleo_jipya :
Mm niliota ndoto bajaji imekanyaga nilichanganyikiwa ikiwa ni ndoto
2026-09-22 04:48:00
1
cutesallie
🦋❤️Aiem~Sally❤️🦋 :
AI
2026-09-21 14:36:01
1
agripinasinkala96
Bint sinkala🌸🦋 :
Unamiliki presha mwanetu
2026-09-21 06:13:28
1
esther_emmah
Esther🥰🥰🥰 :
Kumbe kiwanja kinavunjikaa
2026-09-21 07:32:42
1
larahcolletion6
Larah collection 01 Tz👗👕🩳👚 :
😁😁😁😁😁😁 kwani huu ni mwaka gani
2026-09-19 11:22:40
2
rainerzeph
Rainer-cr :
Mwenye nguvu ya kuvunja hyo ana uwezo wa kununua hizo kumi kwa mkupuo
2026-09-18 21:21:19
1
ms.evee1
❤️Ms🫦 eve🫂 :
2026-09-19 09:11:53
1
nemeskimario
Nemes :
sasa hiki ni kitu cha kuumiza 😂
2026-09-21 05:09:27
1
winihay.rashy
Winihaya♥️💫 :
dah pole san aisee
2026-10-20 13:18:50
0
nayma459
Kashogi_jr :
Si
2026-10-04 21:05:39
0
moshazyycatyy81
[email protected] :
Bora ningenunua kiwanja mayo
2026-10-01 16:26:30
0
manjale567
dory🧸 :
oooh my gwad
2026-09-28 18:59:02
0
nayma459
Kashogi_jr :
Si inawarant au ikivunjika haiesabiwi
2026-10-04 21:06:06
0
nimah099
nimah :
Kwan sio imara 😂
2026-09-18 23:34:07
0
To see more videos from user @shedy_mobile, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About