@j60_channel_tz: pole sana kiredio #tanzaniatiktok #kiredio

J60 CHANNEL tz
J60 CHANNEL tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 18:32:43 GMT
210948
9401
312
787

Music

Download

Comments

scholah.lyimo
Scholah Lyimo :
daaah pole sana kiredio jaman
2026-09-18 20:17:21
4
m_o_m_o643
Momo tz🇹🇿 :
milion 60 kutapeliwa sio mchezo
2026-09-19 05:31:37
111
eastwest130
King of sapeur🎩 :
Hiyo ni content tu hamna kitu hapo
2026-09-18 19:15:09
115
user638639083ummu
ummu j4 :
jomn kiredio dah pole nimeona fb kapost kineno kidog lakn kina maan dh poll Allah akufanyie wepesi upone
2026-09-18 19:54:26
21
brinasabry
Briana :
habari zimetoka kwa mymathar nimeumia sana
2026-09-18 19:12:57
83
feynar
feynar mursary :
akuna kitu nachukia nasoma comments zote mpk chini na sijui n nn kinaendelea😏
2026-09-18 19:48:09
37
glory.nestory06
g love ❤️ 😍 :
ambao atujui kinachoendelea tujuane😳
2026-09-18 19:38:42
326
farajakibona5
Farry Threads :
shida ya wasanii mtu hujui ishu ni real au kick
2026-09-19 02:56:19
25
vanny.vance
Vanny Vance :
habari naitwa kondela sikiliza wimbo wangu audio Mark
2026-09-19 07:22:28
11
mama_b099
_Its_Dee🌸🫧❤️ :
Hiki kipind mwanamke ndo angetakiwa aoneshe fadhila zake hata kama wanekosana vipi ila aliotoka nae ni mbali haijalishi binadamu wataongea nn. Sisi binadamu hatujawahi kukaukiwa maneno hata siku moja ila daaaah pole broh🥹
2026-09-18 23:22:13
10
user18635142672816
user18635142672816 :
kwani ni stress za vidollar au sjaelewa
2026-09-19 07:24:12
6
user6170314992617
wendy💗 :
nahis vee anamchek ila sio masihara jamn million 6 yan kiwanja hiko
2026-09-19 06:29:32
7
naifatiomaly
fetty :
pole sn
2026-09-19 09:25:38
0
hemedi_the14teens
JIMMY :
ilikua ivi hiyi milioni 60 aliyotapeliwa Read more......
2026-09-19 08:19:34
11
dable.tee
Double tee :
Mpk nimejisikia vibaya mungu amponye
2026-09-18 19:02:02
142
fav_rukya
Fav_rukya :
Kwa hali hii 😳😳😳😳kuwa single sio dhambi
2026-09-18 23:33:23
9
maggiechris
Kamamaa :
mimi ni mgumu sana kuwaamini wasanii hawa... utashangaa bdae unaambiwa ni content 🫤
2026-09-19 06:09:50
15
blessedlucy2
LUCIE❤️ :
Content 😆
2026-09-19 04:26:56
0
ferry.cute29
Ms zouh❤️‍🩹 :
mungu wang😕😭allah akufanyie wepesi kiredio wang
2026-09-18 19:39:49
31
hawaofficial166
Mrsp❤️s :
Mnamjaribu Mungu eeeh
2026-09-18 19:20:05
20
itsnindellah
Nindellah :
ndo nimetoka jela Kwan kiredio kulikon
2026-09-18 19:20:00
16
user78141506179715
Mary :
alijitoa sana broo ila daaah ..... wanaume mwanamke akikupenda hata hajali kuhusu kipato chako na kamwe hutatumia nguvu kabisa kumfanya awe karibu yako ...
2026-09-18 20:21:37
11
zanianyeku
🪷Ms.Zany🪷 :
aya naomb umuulize wastara, atakwambia vizur kuhusu sajuki
2026-09-19 05:09:58
5
princemmassy4
Mr_President :
Ni maigizoooo au ukwel 😔💔🤷‍♂️
2026-09-19 08:23:15
2
davidkajabuka2
davidkajabuka2 :
TUISHI NAO KWA AKILI
2026-09-18 20:34:46
0
To see more videos from user @j60_channel_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About