hii Mimi kuna Mda najiulizaga why mama sipatai jibu
2026-09-19 16:56:54
3
mariam shaksi :
yan hata mm sielew au sjui kwa nn mpo nane ila mwenye kuambiwa shida1
2026-09-21 01:28:33
0
Beatrice :
ameeeen MUNGU nibatiki nimtunze maamaangu mpka siku yake ya meisho
2026-09-19 02:31:55
5
Junior_stoter tz :
unajua kwanin kweny familia mpo weng lakin waliokuzid mafanikio b mkubwa hawaimbi kit shida yakoo anakwambia wew that why ,mim naona b mkubwa anabalance kituu anatak usijisikie vibaya anakuonyesh kwamb na wrw ni wa muhim na unawezaa tatuaa shida zake
2026-09-21 08:27:26
5
@masasi jr✌️ :
dah ila kwel
2026-10-04 08:22:36
0
Doumbia :
kinacho umiza zaidi unakuta una ndugu zako wenye uwezo mkubwa kabisa lakini ana kuja kukuelezea wewe ambae huna kitu daa inauma mno RIP MOM
2026-09-19 14:38:32
5
Alinanuswe :
naomben msada huowimbo unaitweje jina wakubwa
2026-09-22 18:27:36
0
Mwalimu :
mlimagani huu
2026-09-21 08:58:39
0
Fadhili Dini :
usikute kila mmojawenu ana ambiwa kauli moja io io
2026-09-22 15:31:22
0
Najma :
Alhamdullilah
2026-09-21 13:20:32
1
user1779674198857 :
anajua we ndo mwokozi wa shida zake kwa haraka kiufupi mzazi anajua tabia za wanawe ote wengine wanazo lakini wanakigugumizi hawamzingatii kwa wakati , sema Nini mungu akubaliki usichoke mpe🙏
2026-09-23 19:11:06
0
Ameir🇹🇿 :
hivi imekaaje 😏maana ata sometimes adi unaboeka lakin ukimtimizia hupata amani ya moyo wako pia yan hauwazi
2026-09-19 20:04:44
1
#Faris10@#🤓 :
ukigundua tu kwanin baba ua anawekewa nyama nyingi wakati wa kula aina aja ya kujaji🚶
2026-09-19 10:17:13
1
Tonya Msamalo :
kwann iwe mmtu kla wakat
2026-09-19 08:48:35
2
Amy_papie😎 :
@FAHEEM🇹🇿 @CADEN @Man soso🚛🇹🇿🇿🇲🇿🇦 @I M_M I L DⓂ️ @Tiny @switch
2026-09-18 21:53:55
2
Mrs james :
😁😁😁
2026-09-21 16:25:25
0
Jastine Ochola :
🥺🥹😭
2026-09-21 18:15:19
0
To see more videos from user @nobokatz, please go to the Tikwm
homepage.