@96linktv: Maoni ya @djsma255 kuhusu kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA #tundulissu kutoa salamu za pole kwa Mhe Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan baada ya kufiwa na aliyekuwa Mume wake. Full interview ipo kwenye YouTube channel ya 96link #96link #tunakuunganisha Powered by @mkombozi_office_furnitures_tz & @magic_builders_international
alie mpiga risas ninan,wakna nan alienda kumuona nan
2026-09-19 11:05:41
0
Gaston Angelo :
kwer
2026-09-18 21:52:38
0
360 motors :
2026-09-18 23:02:25
0
doctor*b :
🥰🥰🥰
2026-09-19 06:56:48
0
Robert Mzizima :
kama sio uadui kwann wamemfunga
2026-09-21 07:53:22
0
Allan lyombile :
Mtazamo wangu Lisu alilenga kumkejeri Raisi kwamba kumbe hata nyie huwa mnakufa au kufiwa? ndio maana Heche aliyetumwa hajapeleka hizo salamu mpaka leo,ila Lema hakugunduwa lengo la Lisu.
2026-09-20 15:21:20
0
Yaumu Juma :
🥰🥰🥰🥰
2026-09-19 08:06:31
0
Sakaya Lobebeki :
🥰🥰🥰
2026-09-19 05:06:40
0
Mpotompoto barbershop :
😂😂😂
2026-09-18 23:40:38
0
To see more videos from user @96linktv, please go to the Tikwm
homepage.