@tiffany_store_tz: Kwako DIRECTOR @gabozigamba Natamani niandike kikazi lakini nashindwa kasababu nabebwa na hisia zaidii kuliko KAZI😭 Dear husband 😭 i love youuuuuuuuu 😭😭😭 @gabozigamba sina namna ninayoweza kuielezea ukaelewa kiasi gani najivunia upendo amani na support unayonipa kila mara😭 mumewangu wewe ni wapekee sana, kama kuna kitu Allah amenipendelea basi ni kunipa wewe unaejua kwendana mwendo wa kilema changu 😭 Thank you for everything my jannah❤️ ALLAH akulipe kheri zaidi mylv❤️ Kila simu ya pongezi ninayopigiwa kwa kazi nzuri basi mpka inapoonekana si mwingine ni DIRECTOR mkubwa, legend @gabozigamba na team nzima ya @gabzmedia_tz full production, set cast 🙌🏻 Kubwa zaidi unanielekeza kwa upendo, upole na kujali hisia zangu kwanza kabla ya kujali kitu chochote 😭 thank you husband❤️ Asante mumewangu kwa kuzifanyia wepesi kazi zangu ili nizidi kua bora kila siku, umekua mwalimu mzuri sanaa na naahidi kuyafuata mafundisho yako maelekezo, mwendendo unaonielekeza kila siku hakika nilipo leo hapafanani na nilipokua jana na hii yote ni kwasababu yako mumewangu❤️❤️ Nakupenda sanaa, ALLAH akuweke kwaajili yangu……. #waminkulihasdiidhahasada# Special thanks to my one and only wifiii and shemeji yangu the one and only @eshe_kinde_ ❤️❤️
TIFFANY STORE TZ
Region: TZ
Friday 18 September 2026 19:48:06 GMT
Music
Download
Comments
Mom Jayden❣️ :
The Queen[Heartwarming]
2026-09-22 03:54:10
0
Khadeejah💃🏻 :
Af kuna watu wanasema ndoa mbaya
2026-09-19 05:57:55
193
Bestqueen :
dunia ina kaz[Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-20 06:43:04
0
khadija :
supportive husband this is what i meant🥰
2026-09-18 20:18:26
131
Ms~Khasary :
Mola atujaalie wanawake tupate mume mfano wa gabo zigamba..ni mwanaume supportive sn kwa mkewe..no matter what ila yeye yup n mkewe🥰
2026-09-18 20:25:28
72
as_Kelly🐬🐬 :
alafu unaskia mtu anakwambia ndoa mbaya[Tears of joy][Tears of joy]Sema mnakutana na vitu vya kutisha kwenye tukio lenye hisia[Tears of joy]
2026-09-18 20:34:11
174
Only Me💔❤️🩹🥹 :
Like my Man🥺such a great person I hv never regretted meeting him in my life🥰…nimesikia furah kwakweli kuona hii
2026-09-19 04:35:29
26
Hassan Fwamba :
Shida yenu mtu akicomment mnaview profile 😏
2026-09-19 16:58:52
3
@Cute_pie :
Such a surpotive huzband🤌 mashallah!
2026-09-18 20:40:40
10
👑QUEEN _ROSE🌸 :
Huku ndio najiambatanisha na baraka😂🥰😊
2026-09-19 13:00:33
3
prize greet 🥰 :
kwani hapo wanaelezea nini jamani😅
2026-09-19 09:52:23
7
AM BERTHA♓ :
cocoa butter lotion,,,,,
2026-09-19 17:04:37
3
samir :
director mkubwa sawa mi kanifundisha madrasa maeneo ya magomeni mwalimu wangu msalimie
2026-09-19 06:44:24
6
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Ndoto ya kila mwanamke 🥹
2026-09-19 10:05:13
6
Chef of nations :
hi Tiffy😍😍
2026-09-19 17:09:09
0
#de Phoenix ☘️ :
ndoa ni nzury kama umepata mwanaume anaesapot jitihada zako🥰
2026-09-19 08:21:42
2
Mama G :
ndio maan mkewe anamuitaga my support
2026-09-19 09:41:11
3
#pettyci@h💕😜 :
jmn mpk mwili umenisisimkaaa
2026-09-19 04:21:09
17
khalphetty.lloyd :
🤧🤧🥲
2026-09-20 12:55:39
1
Leyla kaluchy❤️ :
doh wenye waanaume zao wanao wa support afu kuna sisi 🤣
2026-09-19 15:51:37
1
Aksa💞❤ :
🙆🙆juma juma anyway at tusitesek kuuliz San atatwambia juma😂😂
2026-09-19 03:41:32
1
martha wanjala#thee_baker :
So tanzania wako na brayo pia.
2026-09-19 02:55:05
1
edinajafety612 :
NA MM NAOMB NAFAS
2026-09-18 21:28:44
2
lrenepeter35 :
🥰🥰🥰
2026-09-21 06:37:17
0
To see more videos from user @tiffany_store_tz, please go to the Tikwm
homepage.