@gerry__patrick: Moja kati ya video inayo'trend sana kwenye mitandao ya kijamii ni hii inayomwonyesha Mwamuzi (Referee) Ramadhan Kayoko akifanya mazoezi ya utimamu wa mwili kwa njia ya karate Ishara hiyo inaweza kuzua umakini kuelekea dabi ya kariakoo kati ya @simbasctanzania na @yangasc huku tukikumbuka jopo la waamuzi kuelekea mtanange huo bado halijawekwa wazi Je, kama Ramadhan Kayoko atapewa jukumu la kuwa pilato wa Mchezo huo, Unadhani timu gani itapata wakati mgumu kwenye maamuzi ya mwamuzi Kayoko?

gerry__patrick
gerry__patrick
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 19:50:39 GMT
10919
433
12
33

Music

Download

Comments

kakonzi.moshi0
kakonzi Moshi :
[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-18 22:58:10
0
bm_movies_online
bmmoviesonline :
saw kaka
2026-09-19 03:30:34
0
user2779120851742
chapy :
2026-09-18 22:37:53
0
jimmy.06carter
Jimmy carter :
😂😂😂
2026-09-19 02:31:50
0
shebby_lansi
Xheby Rance :
😂😂😂
2026-09-18 21:45:18
0
jaysmile52
@JAYSMILE🤣🤣 :
yanga
2026-09-18 22:31:58
0
user6128105880686
amir sadi jr :
kumbee bd mtot eeeeeh
2026-09-19 04:44:54
0
serengooo
the great victor :
😂😂😂
2026-09-19 04:43:55
0
babaaudrey_
j9 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-18 22:23:37
0
kasaila26
kasaila26 :
[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-09-18 22:18:47
0
nadhirana106
Nana💘love077 :
😂😂😂😂😂😂
2026-09-19 05:24:40
0
designersomalian
Designer somalian :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-18 20:11:10
0
To see more videos from user @gerry__patrick, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About