Tumrudie mungu atujui siku na saa ya kuondoka ni mda wowote
2026-09-19 12:52:04
16
Getrude#🇯🇲Echo :
ata mimi nimeona msichana alikua anacheza kama huyu eeeeh jamani mbona siamin do! kwakweli ata sisi tupo kwenye folen Mungu atupe mwisho mwema na ampumzishe mahala pema peponi Amen [Crying][Crying][Crying][Teary eyed][Eye roll]
2026-09-19 03:58:37
11
six walker :
Pole xan😭
2026-09-19 05:47:36
0
Wa_town :
pipi imenata mbaya ila ndo ivo mungu hakoseii🥺🥺
2026-09-19 19:20:10
3
godyii :
daaah easy mmaaa🥺
2026-09-19 07:19:54
0
tony tz 🤗🚴 :
mwenyz mung ampunguzie adhabu ya Khabur 😭🙏
2026-09-19 06:05:27
11
Mwanaisha Ramadhan :
tukifanya masihara tutakufa sana nilichogindiw mungu auwi hovyo
2026-09-19 07:01:25
15
masine :
tulimpenda mungu kampenda Zaid inahizunisha sana pumzika kwa aman kpenzi 😭😭😭😭😭🙏
2026-09-19 12:52:53
1
Kilian827 :
daah hakuna kitu ambacho kimeniuma kama hiki yan huyu mdada rayana ameniuma sana aise nilivo enda kushuhudia nilijikuta nalia kama mtoto ase bye madam safar umeimalza madam
2026-09-20 14:42:36
0
Star hillah. :
Poleni sana ndugu zangu
2026-09-19 10:37:21
1
Cintao :
mbn wazuri ndio wanaenda wabaya wanabaki jamani
2026-09-19 13:26:11
1
Lajnabiriani♥️ :
innallillah wainalllah raajun
2026-09-19 09:12:10
1
mamen skalee :
jah bless na si tunafatia n kupiga dua mazee
2026-09-19 17:40:05
0
officially sofiaa :
jmn mbn vijan tunaisha iv eeeh mungu tujaliee mwisho mwemaaaaa
2026-09-19 18:27:29
0
SPARK.. 0️⃣ 5️⃣🔞🦺🌴 :
rest in peace 💔 🙏 🪦
2026-09-19 06:30:51
0
QUL FAFA🕰️🥶 :
nn shida tena bike au
2026-09-19 09:46:06
1
Oscar kidd :
rest
2026-09-19 10:46:01
0
Miss rajah❤🥰 :
Polen sana
2026-09-19 06:42:24
2
Aiem Dorrah🎀🔐 :
polee kipenzi 😭😭😞
2026-09-19 05:36:04
0
👄Aviany official❤ :
Allah ampunzishe maala pema peponi inaumiza sana lkn kazi ya Allah haina makosa polen nyoteh Allah awafanyie wepesi🙏🙏
2026-09-19 13:44:21
0
Kingkali Mchaga :
pumzika kwaaman mungu amekupenda nasisi tukakuja
2026-09-19 13:11:45
2
To see more videos from user @fabian.alone2, please go to the Tikwm
homepage.