ashuu aaargh [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-21 03:27:42
0
Kichuna’s Glam 💋💄💋 :
Mm na Ashuu hatuna tofauti jamani kila mtu atulie kwao😁😁
2026-09-19 04:43:54
154
Ozalima😜✌️ :
mmi mwenywe sipendi wageni na pia sipendi kuwa mgeni kwa watu
2026-09-19 07:28:40
85
hotcake001 :
hizi ndio kazi za mamangu kazi kuzoazoa ukimuuelezea shida zako ushakua mwanae unakuja kuishi kwetu,,amelea watu hatuwajui wala makwao😁
Allah amuhifadhi tunampenda ☺️❤️
2026-09-19 07:29:54
66
Quite.anima💕 :
Mambo mengine ya watu😂😂😂
2026-09-18 22:22:54
67
🦋 Duruma queen 👑 🦋 :
Ata mimi sipendi wageni sio siri 😂😂uzuri sipendi kwenda kwa watu pia kila mtu akae kwao😂😂😂
2026-09-19 06:54:55
27
halima Ali :
doza watuonea na wachonyi
2026-09-19 04:30:07
18
ashuu🦋🫦 :
shemeji anajiachiya kama kwake afanye aondoke🤣🤣🤣
2026-09-19 06:29:34
19
Remmy 001 :
Doza na mjombangu n kama n ndugu pia yy apenda zoazoa hadi family twakasirika😂😂
2026-09-19 07:03:49
9
Radhia kirikiri :
😂🤣🤣😂😂😂😂😅kwa kuzoa zoa🤣🤣🤣🤣
2026-09-18 22:51:01
7
Pedalla :
Ashuu ni mswahili😂😂Ati mshanimaliz
2026-09-18 22:17:42
18
Umi Masudi :
Kwanza kitu amenikosea ni kuvyoga sofa khri anivyoga mimi kheeeee😄😄😄😄
2026-09-20 09:27:49
7
The Queen of Abayas :
m na mume wangu sote hatupendi wageni aah rahaaa ukisema waja twakudanganya twazima taa zote twaenda lala 🏃🏽♀️😂😂
2026-09-19 10:57:38
6
Bossleydy 💕💕 :
Miezi miwili sasa hakuna wifi 🤣
2026-09-18 21:05:35
15
mariamhamid299 :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂me exactly 💯
2026-09-18 21:54:09
6
cute nana56088 :
jamani sipendi ah shemj shemj
2026-09-19 05:09:30
6
🦋Amthaf🦋 :
mm nme penda hicho kikohozi tu😁😁😅alaf haya ma fumbo kaa ya dadangu😂😂
2026-09-18 21:04:19
15
its_xophie🥀🦋🌀 :
ametoka wapi???😂😂😂😂😂😂
2026-09-19 10:40:12
6
🌸Rahma🌸 :
🤣🤣🤣aah bibi yangu ange sema ata hajui ata pika chakula size Gani 💔💔na ata kuliza waondoka lini mama yeye hashindi nyumbani 🙌🏽my grandma acha tu🤣🤣
2026-09-18 22:14:39
10
🦋ÐøpèQùèèn🦋 :
shemeji sku hzi akuwa tumbiri[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-19 04:55:26
6
ms bisarr :
watu wengine patawashinda tu hapa[Tears of joy]
2026-09-19 03:14:04
8
4lyf :
Ashuu nakupenda bure🥰🥰🥰
2026-09-18 21:00:07
6
dhahabu 💫♐ :
🤣🤣🤣🤣🤣Ashuuu umetuwakilisha vzr
2026-09-19 03:25:53
9
🦋Daddy's ghurl🦋 :
kazi ya mamangu hio bora mtu amueleze shida zake tu yeye yualea 😂😂😂😂😂
2026-09-20 06:33:08
4
To see more videos from user @doza_bouy_jr04, please go to the Tikwm
homepage.