@mwanzomedia: Msanii wa Singeli anaefanya vizuri Tanzania na Nje ya mipaka ya Tanzania @itsdvoice amewaacha Mashabiki zake njia panda Baada ya kuchora jina la Aaliyah kwenye kifua chake.Watu wengi walitegemea angechora jina la mpenzi wake wa Sasa @luludivatz