dah kweli kabisa yani mzur kama ua ila mna uhakika amemchaguaa
2026-09-19 14:03:46
27
Abdoo Rajabu :
Mungu nipe mke saiv nisije jadiliwa badae mm🥺
2026-09-19 11:30:45
17
ldaa😚 :
mna uhakika kamchagua😂😂😂😂
2026-09-19 10:48:23
14
mimahsall :
amechelewa tu kuoa ila kijana tu. 😂
2026-09-19 07:50:19
15
Abdul :
Mara alikua mwalimu wake wanassary😅
2026-09-19 12:43:48
5
Life is a long journey. :
ni baba au mume 🙈.
2026-09-19 07:03:15
6
Ifaah🥀 :
Tulieni kila mtu atafanya maamuzi magumu kwa wakat wake😂🙌🏿
2026-09-19 15:36:58
10
Digo Babe👑 :
kuna wakati unafika hata vigezo vyakutafuta mume vinaisha unaruka na atakaekuja😳
2026-09-19 13:02:58
7
cheny white :
Kumbe sija expire mm jamani 🤣
2026-09-19 11:43:18
1
mesood :
Basiii sina harak tena🤭
2026-09-19 12:44:00
1
dida love :
pesa si anayo na mashine ya mana bas hakuna shida sura sio roho
2026-09-19 08:36:56
6
Safi Kayeba :
bila shaka bwana harusi nimganga😅
2026-09-19 21:32:37
0
Sharmila’sflorals&Gifts :
Ukihitaj mpe wa pili nitafut dm😂😂😂😂😂
2026-09-19 10:57:06
0
Mr vibes :
mashalla
2026-09-19 11:39:28
0
sadah abdallah :
Ila nyie watu sijui mna roho gan kuna watu wadate na babu zao kbc mbn hamsemi kit ila mtu amepta stara bc ni ajabu kwenu mapnz si umri wa mali ni makublian ya watu wawili
2026-09-19 14:39:34
5
⭐maham'sly♉ :
wwoyyy🥰🥰🥰wifi wa familia..paambe tu
2026-09-19 12:06:40
0
mimididar6 :
2026-09-19 11:09:07
0
neyG :
bora nifanye uamuzi mgumu 😂😂😂😂
2026-09-19 12:24:58
0
sulei_st...🌹🌹 :
hajamchagua kazalimish😂😂😂😂
2026-09-19 10:42:53
1
Biggest. :
kipo ulicho kifuata apo
2026-09-19 08:21:49
3
Mom hayyam :
hii TikTok ukifanya masihara unakufa Kwa presha jamani aaaa comment section zifungiwe tuu😂😂😂
2026-09-19 12:06:03
1
Middle girl 🧕 :
aghaa inshallah ikawe kherii🥰
2026-09-19 10:51:19
0
Rina baby💕💕 :
aibu naon mie[Laugh approved]
2026-09-19 10:37:00
0
To see more videos from user @delephotography7, please go to the Tikwm
homepage.