@iycsigntv: Pasta ameshangazwa na jina la mwana muziki #diamondplatnumz kutoka tanzania amelipataje ? Muusika: pasta 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more
His experience is higher than that names, that why anajiita hayo majina....and we love him so much 🥰👍
2026-09-21 21:55:54
0
nurah ❤️🇰🇪💯 :
ndio maana Diamond yuko juu majina yenyewe yana nguvu.
2026-09-19 06:23:29
43
pacha boy :
dangote plutnum Nd nini
2026-09-20 16:19:57
0
Mathayo Kalemera Moi :
hubiria watu waache dhambi.sio kuandama watu hovyo.mtoa hukumu ni Mungu tu.
2026-09-19 05:24:28
40
Miriam :
Muwe mnasikiliza vizuli ajamponda ila ana mpongeza Kwa kujipa majina yenye neema
2026-09-19 07:22:21
19
JAY DISCIPLE :
Simba anatambilika mpaka kwa wachungaji
2026-09-19 06:02:56
17
Nicolas :
king of the jungle is not LION
it's a honey badger
2026-09-19 14:19:18
9
Maryam 22 :
hubiri ijili sio Masha ya watu
2026-09-19 10:26:48
8
suwilanji kaluwasha :
hallelujah
2026-09-20 18:05:53
0
idrissamohamed16 :
Kwani Wachungaji Hawana Mahubiri Zaidi Kutaja Mambo ya Watu Kwenye Ibada Zao
2026-09-19 09:58:32
4
Malha@ heena# :
hat mm naweza nkajita silver🤣🤣🤣
2026-09-19 13:22:20
4
kitotomonkey :
bola nimfatilie diamond
2026-09-19 08:48:40
9
Faraja :
inahusiana nini sasa jamn daaaah
2026-09-20 13:34:30
1
Adamkombo1 :
ss hiyu ndio ibada au ndi nn
2026-09-20 20:15:18
0
fabfurahmole :
honey badger is the king of jugle
2026-09-19 18:29:59
0
Veronica Komba :
Hubiri Ufunuo wa Yohana, Diamond amefikaje hapo?
2026-09-19 23:59:28
4
MK :
Mnaona kapotea ila anatoa mfano wa majina yana nguvu. na kuongea hivi haimaanishi sio mt wa Mungu. Shida mnataka watumishi wa Mungu 24/7 waongee tuu Bible na asitoe ata mfano wa kitu. JAMANI TUKO DUNIANI
2026-09-19 07:49:19
5
sisterVero :
Elewa anamanisha nini Pastor. sio kujibu bila kufikiria. Hongera kwa ijumbe wa kujitabilia mazuri Baba.
2026-09-19 15:20:20
7
Sariim Sariim👉 :
sema poster ajamsema vibaya yaan anamanisha diamond ana akili kubwa sana na uwezo wakufikil💯 Big up porster
2026-09-19 12:05:40
9
Barabo Boybaraka :
Bjr
2026-09-19 03:52:46
5
Nuru athuman. :
Si muongelee mungu. Huyo ni kijana mdogo pia nikupenda kwake. Unamshangaa kijana mdogo na huulizi timu yetu inaitwa Simba???? Jamani MUACHE watoto waweenzenu
2026-09-20 09:56:11
0
regin sinkala +nakamba :
ndoo nn
2026-09-19 07:17:17
2
nee_store_tz :
Ndio ilivyo ata yacob aiitwa israel
2026-09-20 08:40:36
2
mwandu :
🥰
2026-09-19 05:55:21
3
Iggy De Barber :
diamond platinumz is the best 💯
2026-09-19 20:05:29
1
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm
homepage.