@finegirl.weylovejesus: Hosea 1,2 & 3 Upendo wa Kristo kwa kanisa umeonyeshwa kupitia hadithi hii ya biblia. #finegirlweylovejesus✝️ #biblestories #jesuslovesyou
Nilichojifunza kupitia hiyo ndoa ya Hosea na Gomeri .. Si kwamba Hosea alijiamlia yeye kumuoa yule bali ni Mungu alimwambia hivyo tusikilize sauti ya Mungu pale anapokuambia jambo tenda effectively.. Tusiwe akina Yona
2026-09-19 06:11:33
9
Christ-for-all-generations :
I am blessed na umependeza my Sunday School Teacher
2026-09-19 09:27:53
2
The transpoter :
2026-09-19 07:46:08
2
karoli :
Mungu ametufundisha ni jinsi gani sisi tunamuudhi Mungu na bado anatusamehe.
kwa hiyo hakuna dhambi isiyosameheka
2026-09-19 10:57:35
2
Francisco Hopper :
yeah nzuri sana sister
2026-09-19 06:41:05
1
Chemical Jaky :
Glory to God! Nakuelewa sana dada! nimejifunza jinsi upendo wa Mungu ulivyo wa tofauti! wajibu wa kusamehe na athari ya kutoona thamani ya vile tulivyonavyo mkononi!
Asante sana dada, keep moving servant of God!
2026-10-12 09:57:24
1
SIMA J&N :
Daaah stay blessed
2026-09-19 07:59:27
1
AFROSOUND :
ah kumbe wameanza kucheat kitambo
2026-10-09 18:58:26
1
Getrude Mbembela :
ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
2026-09-19 09:09:20
1
user1270858709854 :
ubarikiwe
2026-09-19 08:57:44
1
Fanie :
Dada mzuri huyu jamani, thank you for sharing ❤️🥰
2026-09-29 08:43:45
1
JOLYNE STORE :
Tulikumic mama 🥰🥰
2026-09-19 09:15:21
1
Michael kayoka :
gomeri ni Mimi na wewe Hosea ni Mungu
umenielewa je unazani neno Lilile lilikua kwaajili ya unabii wa siku za mwisho
2026-09-19 02:18:52
1
Jenga nasi house fittings :
hapo naona Hosea alikuwa mtulivu mbele za Mungu,na hakurudi kwa kupenda alielekezwa na Mungu
2026-09-19 11:16:56
1
NajikoTz :
Barikiwaa my sisi Emyrose ...💞💞💞
2026-09-19 07:38:55
1
Mwamvua Kajana :
ubarikiwe sana
2026-09-19 07:50:33
0
mwakihwaja musa :
Amina mtumishi
2026-09-19 07:27:31
1
zipporah654 :
I have learn that our God is so merciful and Has unconditional love towards us and He doesn't want anyone to perish
2026-09-19 09:02:45
3
Ms. Shirima :
Thank you for this. Be very blessed sister ❤️
2026-09-19 06:59:27
1
Africano Paraiso Aventura Ltd :
Mungu Alitalia kuonyesha Upendo wake kwetu ingawa tunafanya uzinzi(kumuacha na kufuata miungu mingine). Nafikiri Mungu alitaka Hosea ajue namna Mungu anavyotupenda!
2026-10-12 16:44:31
1
Samy :
Nimejifunza kusameh
2026-09-19 05:54:24
1
Michael kayoka :
njoo tujifunze bibilia
pamoja mafumbo,unabii na kitabu Cha ufunuo buree
zion mission center Tanzania
2026-09-19 02:20:12
3
Paul Ibrahim :
kingine Ambacho nimejifuza nikwamba wakati huwo Ambao mke wake Hosea Amemuacha niwakati Ambao Hosea Alikuwa Anaongezeka kwenye Imani kwakuwa wakatiule Ambapo mke wake Amemuacha Alikuw Anamuomba MUNGU sana ndio maana Akapata maelekezo kutoka kwa MUNGU kuwa Amrudie mke wake kwakuwa Angekuwa Hamuombi MUNGU Asingesikia sauti ya MUNGU
2026-09-19 07:35:10
4
Gracious :
barikiwa sana kwa somo zuri sana🙏🙏🥰🥰
2026-09-19 06:54:40
0
To see more videos from user @finegirl.weylovejesus, please go to the Tikwm
homepage.