@kaisikiactress73: Ukiwa na Wanawake Wawili ni Rahaa kweli Yaani Burudanii Majukumu ya mmoja unafanyiwana wawili 🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌 #kenya #kenyantiktok🇰🇪 #trending #congo #zanzibar

#KAISIKI
#KAISIKI
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 05:09:29 GMT
91658
3874
306
782

Music

Download

Comments

missnaito
Missqzet :
my responsibility na doffi weweeeeeeee🥰
2026-09-19 10:54:10
0
radhiadama119
Ma Alf and Alvin :
🥰🤣🤣🤣wana ndoa hamjambo
2026-09-19 07:11:06
16
salimstainer51_
salimstainer :
cameraman uko vzr
2026-09-19 10:44:55
0
user50977306369904
💘YASMIN 🥰💕 :
Sheria ya dini got me 🤣😁😁😁😁
2026-09-19 08:14:38
0
mummie007
Mummies :
Nimependa soapdish ya kaisiki
2026-09-19 08:34:23
7
happy.jonas734
Happy jonas :
Ety Leo
2026-09-19 11:29:06
0
queenfarry7
The one :
😂😂😂nani anataka tuwe wake wawili kama hivi
2026-09-19 09:42:28
10
user3658815433594
user3658815433594 :
mmmm hiii kamli
2026-09-19 08:06:40
0
emmi_lianna1
🦋🫠 Emmy 🫠🦋 :
kaburanganya ni nini jmn 😂😂😂😂
2026-09-19 06:15:58
6
user3702282424138
user3702282424138 :
Responsibility
2026-09-19 06:06:07
0
ms.___pendo
ms.___pendo :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mi mbavu sina huku
2026-09-19 07:10:34
5
hakhyhenry
Hakhy 🥂 :
Ndoa yang inaingiliwa serikali naomba inisaidiee😂😂😂😂
2026-09-19 10:25:20
2
dontlooseinn2026
❤️hàñłĩäń💍🔐✨ :
Naanza mkubwa sheria ya dini 😂😂😂
2026-09-19 07:14:43
6
iffa0636
iffa🤎🦋🌹 :
😂😂😂😂😂ndo na sabun y unga sasa😂😂😂
2026-09-19 10:26:54
1
gcollectiontz33
GcollectionTz33 :
kaburanganya maana yake nn naomba kujua[Laugh approved]
2026-09-19 05:35:49
5
sidrath08
🧕 :
hilo pazia sasa😅😅😅😅😅
2026-09-19 10:54:43
3
user8374806145447
MTAFTAJI TZ :
daaah nacheka san kama mazuli vile 😅😅😅😅😆
2026-09-19 08:15:11
4
5ann27
@luhya girl :
kwa kina ndoa ni kuzuri karibuni😂😂
2026-09-19 10:29:28
1
gracious.mfinanga4
Gracious mfinanga :
kabura nn vile[Tears of joy][Tears of joy]ila kaisiki kanifanya niongee iyo lugha yake [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-19 05:32:14
0
zuhura.omary66
Zuhura Omary :
kaisiki.nakupendasana
2026-09-19 07:30:50
3
mamaafricadesigner
Mama Africa designer 🇹🇿👗✂️ :
Mimi ni mke mkubwa🤣🤣🤣
2026-09-19 10:17:54
1
catherinepambaika
PAMBAIKA FASHION :
kuo wake 2 nikujitafutia kifo😂😂
2026-09-19 10:27:18
0
ratifahamis443
Tiffany🌹_Muruswadi :
Hilo bafu sasa mie mbavu sina
2026-09-19 05:38:08
4
camilaapeculiar
camilaapeculiar :
Niogesheni😂😂😂😂
2026-09-19 06:45:46
2
user61412126095018
🌝 moon :
😅jmn na doffy☺️
2026-09-19 06:03:00
2
To see more videos from user @kaisikiactress73, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About