@kidosinani: Kondakta na Mama salma wamepatikana na hatia humu . #dizastavina🔥🔥✍️ #tz #hiphopmusic #Punchline #DZSTVN

Mr_Publicface
Mr_Publicface
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 05:44:01 GMT
13687
1119
60
10

Music

Download

Comments

officiallviny
VINY JR04 :
jina la wimbo jaman
2026-09-19 11:21:35
5
kelvingenius
kelvingenius :
😂😂😂 sina
2026-09-19 08:21:24
5
tino_kinya99
Tino_kinya :
kinya ft dizasta & boshoo SINA bonge la ngoma 🔥🔥🔥
2026-09-19 10:01:44
2
user8171692128112
user8171692128112 :
jina la hii nyimbo jaman bando linakata
2026-09-19 14:21:07
3
chunda.bady4
Chunda bady.!! :
dizasta sio poa jamani ni wa🔥🔥
2026-09-19 08:14:29
3
zanda8027
Z☆anda《⚡️》 :
aya we endesha t gari la shemeji sina wivuu💪💪
2026-09-19 08:37:06
2
tanzaniautaliiupdates
Mr Remember47 :
we endesha tu gari la shemeji sina wivu😂😂😂
2026-09-19 08:27:10
2
kingwize1389
king1389 :
Mwana anachora afu anafanya real hip-hop 🔥🔥
2026-09-19 08:28:48
2
chrissj33
chris wigo😎 :
kabla haujamwelewa sana vina kamsimile killer ndo mtu wa misemo na mafumbo[Pray]
2026-09-19 16:17:59
1
alexissanchez2977
Soko :
Huyu Jamaa Hakuna kama yeye Bongo Yote Hakuna wallah Hakuna
2026-09-19 12:28:31
2
buthaynah40
Buthaynah :
Mama salma huyu ninaemjua mm au 😁
2026-09-19 09:02:35
1
ndilejaeka
Ndile Jaeka :
eti njo maskani unaisi Sina ishu we endesha gari ya shemeji Sina wivu
2026-09-19 10:03:01
2
sidenigan
Saidy🎖️n.✔️ :
Sina pozi kwenye selfie😖
2026-09-19 21:08:12
0
dizzy_vina
dizasta mbarali :
FAMILIA
2026-09-19 20:28:49
0
bin_aboud61
Rafii Aboud :
me nimeishiwa nguvu nilipoambiwa nyimbo yake ya "Shuhuda". haikuwa inamaanisha ajali meli
2026-09-19 18:53:15
0
hitormisssince2019
hitormisssince2019 :
Mungu wa rap 🙏
2026-09-19 13:02:40
1
denit.godson.grat
Denith Godson Gration :
DZASTA VINA ni msanii gani wa kumuangusha
2026-09-19 17:01:29
1
user8171692128112
user8171692128112 :
ii nyimbo inaitwje jaman
2026-09-19 08:53:30
1
biancaedgarjackson
maniger yuzzo og :
konda anakataa kua m mwanafunzi Sa ana taka nimvulie ili ajue sina vuziii😂😂 noma sana
2026-09-19 11:00:09
3
sacha.67_mwalimu
SACHA ♎ :
Mama salma sina tezi dume🤭
2026-09-19 10:45:54
2
man_pac0
man_pac6 :
Kinya kuna maali anakuambia binti usinichokoze ntakuchapa ata kama sina nyege😂😂😂😂
2026-09-19 11:21:22
2
papiusmsafi
PBOY MSAFII :
Hata ukinipa shavu tambua sina busu
2026-09-19 08:49:44
2
bizzy.waya
bizzy waya :
hiv mama salma ndo mke wetu au😄
2026-09-19 08:47:49
1
daud.jonas22
daud jonas :
ila mama salima akitimba 2 ameisha
2026-09-19 08:12:07
2
mtaalamtx
*🤘🤘MTalaM-*Tx💣* :
we kwan ao wanamfananisha na nan ili timfalie lap wao
2026-09-19 11:45:00
1
To see more videos from user @kidosinani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About