leo ni mara yangu ya kwanza ku coment kwenye video yako ingawa nime kufollow muda mrefu kila nikiana content zako napata ujasir wa kuw mwenyew
2026-09-19 07:24:34
6
GOLDEN GIRL♌️🧿 :
Dah sijuw nisemenn ila ubarikiwe
2026-09-19 06:57:01
1
THEO'S MAKEUP :
una madini sana kaka
2026-09-19 06:29:03
3
Dayness 🚦 :
😔😔😔ni
2026-09-19 08:05:47
0
Anna Kirigiti :
ukweli mtupu
2026-09-19 08:04:20
2
Enny's Choice :
kuna siku nilijitoa mhanga nikamwambia kuwa sioni affection,connection na communication na consistency kama mwanzo akasema ye anaona kila kitu kipo labda mi na overthink Aliahidi vingi but nothing anafanya am tired, Kwa ninavoona there is just physical connection akihitaji sex mniambie najitoaje kwa huyu mtu maan 🥺🥺🥺🥺 hisia zangu zipo at worst. Mniambie najiokoaje mazima kwenye hata mahusiano.
2026-09-19 13:29:48
0
BINT VARE :
hakika kaka yn umenigusa sana
2026-09-19 06:05:04
0
reenZB💋💗 :
2026-09-19 06:10:07
0
jayline quick :
wa siku izi awaelew
2026-09-19 07:17:26
0
Mtivike :
baba ùko sawa😃😃
2026-09-19 10:22:58
0
Mariam Juma :
wewe kaka Bora umesema ila miye hiyo kwangu imenikuta natama hii video ningemtumia nachoka kusema kila siku mwisho natamani nimuache aende ila bado navimiliabila uzuri mungu amenijalia kazi yangu inanifanye niwe na furaha kuriko ndoa yangu hata sijui nifanyaje
2026-09-19 07:12:31
1
JoyGenesis :
Napata kitu sana ubarikiwe 👏🏻
2026-09-19 06:07:44
0
umchrlz :
sahihi
2026-09-19 08:07:11
0
veniter :
@DIKA BOY
2026-09-19 11:59:10
0
linah_Don :
🙏
2026-09-19 10:59:51
0
Furaha 💞💞💯💫 :
🥰🥰🥰
2026-09-19 10:24:24
0
remie..2 :
🫶🏽
2026-09-19 09:21:21
0
Wapesa Shopping Store 💜 :
@MPUNZA, HAMZA M.
2026-09-19 12:43:46
0
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm
homepage.