@lunarfx.ae: Joining This Trend with Cars | BMW m4csl edit #edit #caredit #bmwedit #m4 #trend

LunarFx
LunarFx
Open In TikTok:
Region: JP
Saturday 19 September 2026 05:59:13 GMT
9308
1590
112
115

Music

Download

Comments

blitzfx_ae
𝐁𝐋𝐈𝐓𝐙 :
Peak
2026-09-19 07:30:54
22
mabenzo.aep
mabenzo.aep :
HOLYY PEAAK LUNAAR😍🔥
2026-09-19 06:17:37
6
fomi401
Fomi :
Lunarrrrrrrrrrr das edit is so peak (wie immer Xd)
2026-09-19 08:00:09
5
tuff.aep4
tuff.aep4 :
Holy Peak lunarfx
2026-09-19 06:40:04
7
gssdd10
حسن ❤️⚽️☪️ :
Geiler edit aber mach ihn bisschen länger der wäre dann peak
2026-09-19 09:29:38
1
luana_20k
Luana-chan 😳 :
peakness👀
2026-09-19 06:13:28
1
nyxro.zxc
nyxro.zxc :
fire lunarr 🔥
2026-09-19 06:06:17
5
user093154932
inferto :
alfa Romeo copy 💔
2026-09-20 07:14:11
0
agent26.a
𝐀𝐠𝐞𝐧𝐭𝟐𝟔𝐀 :
peak lunar 🔥
2026-09-19 06:06:48
2
daniel.aevfx
𝐃𝐀𝐍𝐈𝐄𝐋 :
Gekocht brd🔥
2026-09-19 08:20:24
3
hufflements
stels :
schwör’s dir will das auch können😭
2026-09-19 10:59:11
1
slmotion07
SL_Motion :
Holy Peak 🔥🔥🔥
2026-09-19 07:56:09
1
miahzdl
𝐌𝐢𝐚‘🦈 :
WOWWW
2026-09-19 08:21:06
1
nah_topp
Nah_Topp :
Peak
2026-09-19 06:50:18
1
1_ultra.2
𝐔𝐋𝐓𝐑𝐀 | 𝑼.𝑳.𝑻 :
peakkkk schatziiiii[Heart eyes]
2026-09-19 09:09:43
1
noah.fx079
noah.fx079 :
2026-09-19 08:15:44
1
hufflements
stels :
EIF ZU GUT EY
2026-09-19 10:58:46
1
geraldeiro_gamer
Geraldeiro Gamer (flop era)  :
✋😮‍💨✋
2026-09-19 22:19:22
2
davi__fx
Davifx :
2026-09-19 09:36:22
2
granduedit
Grandu :
cooking
2026-09-19 08:09:33
1
vyro.fxx
𝐕𝐘𝐑𝐎 :
Peak Bro
2026-09-19 07:32:42
2
mrbobx33
MrBobX :
peak
2026-09-21 06:10:09
1
editzbyjulian.404
Julian_editz :
Peak Bro🙏💖
2026-09-20 07:06:30
2
lynx.ffx1
𝖗𝖝𝖑𝖞𝖓𝖝 :
holy brooooo
2026-09-19 12:12:34
1
just_zero21
平和 :
When is lunar coming back from vacation
2026-09-19 09:47:39
1
To see more videos from user @lunarfx.ae, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

زۆر جار لە ژیاندا دەگەیتە قۆناغێک، کە چیتر خەم بۆ لەدەستدانی کەس ناخۆیت، خەم بۆ دووری و بێوەفایی هیچ مرۆڤێک ناخۆیت، بەڵکو تەنها و تەنها دڵت بۆ خۆت تەنگ دەبێت. دڵت بۆ ئەو
زۆر جار لە ژیاندا دەگەیتە قۆناغێک، کە چیتر خەم بۆ لەدەستدانی کەس ناخۆیت، خەم بۆ دووری و بێوەفایی هیچ مرۆڤێک ناخۆیت، بەڵکو تەنها و تەنها دڵت بۆ خۆت تەنگ دەبێت. دڵت بۆ ئەو "خۆتە" تەنگ دەبێت کە جارانی لێوانلێو بوو لە هیوا، ئەو دڵەی کە هێندە پاک بوو هەمووانی تێدا جێ دەبووەوە، بەڵام ئێستا وەک ماڵێکی چۆڵ و تاریکی لێ هاتووە کە تەنها دەنگی گریانە کپەکانی خۆتی تێدا دەنگ دەداتەوە.دڵم بۆ خۆم دەسوتێت، بۆ ئەو هەموو جارەی کە شکاوم و کەس نەبوو پارچەکانم کۆ بکاتەوە، بۆ ئەو هەموو شەوەی کە بە تەنها و لە بێدەنگیدا جەنگاوم و بەیانییەکەی بە زەردەخەنەیەکی دەستکردەوە خۆم نیشانی خەڵکی داوە. زۆر قورسە مرۆڤ ببێتە غەریبە لەناو جەستەی خۆیدا، سەیری ئاوێنە بکات و نەک تەنها خۆی نەناسێتەوە، بەڵکو بەزەییشی بەو کەسەدا بێتەوە کە لە ئاوێنەکەدا دەبینرێت.ماندووم لەوەی هەمیشە من بووم کە تێگەیشتم، من بووم کە گوزەراندم، من بووم کە بێدەنگ بووم بۆ ئەوەی کەس لێم زویر نەبێت، کەچی لە کۆتاییدا هەر خۆم مامەوە و دڵێکی پڕ لە برین کە هیچ دەرمانێک چارەسەری ناکات. دڵم بۆ خۆم تەنگە، بۆ ئەو پێکەنینە ڕاستەقینانەی کە ساڵانێکە ڕێگەیان ون کردووە، بۆ ئەو ئارامییەی کە بووە بە خەونێکی دوورەدەست.ئەمە خەمبارترین جۆری تەنیاییە، کە لە ناو ئاپۆڕای خەڵکدا بیت و دڵت بۆ غەریبیی خۆت لێ بدات. کەس نازانێت لە ناخی ئەم مرۆڤەدا چ جەنگێک بەرپایە، کەس نازانێت چەند ماندووم لە هەڵگرتنی ئەو ڕووکەشە بەهێزەی کە ناچارم نیشانی بدەم. من تەنها دەمەوێت بۆ جارێکیش بێت، یەکێک هەبێت کە وەک من بۆ من بێت، بەڵام لە غیابی هەموواندا، تەنها دەتوانم دەستی خۆم بگرم و بڵێم: "ببوورە کە ئەوەندە ئازارم دایت و هێشتاش داوای خۆڕاگریت لێ دەکەم. #rasty_lak #actives? #fyp #ranya
MATATIZO YA MFUMO WA KIZAZI WA MWANAUME 👨‍⚕️ UJUE KIUFUPI MFUMO WA UZAZI WA MWANAUME 👇👇 Mfumo wa kizazi wa mwanaume (male reproductive system) unahusisha viungo vinavyoshirikiana katika uzalishaji wa mbegu za kiume (sperm), utoaji wake, na homoni muhimu kama testosterone. Mfumo huu unajumuisha korodani (testes), epididymis, vas deferens, tezi ya kibofu (prostate gland), uume (penis), na viungo vingine vinavyosaidia katika utendaji wa kijinsia na uzazi. Matatizo yanapojitokeza, yanaweza kuathiri uwezo wa mwanaume kupata watoto na pia afya yake kwa ujumla. HAYA NI BAADHI YA MATATIZO YA MFUMO WA UZAZI WA MWANAUME 💪  a) Shida za Kutozalisha (Infertility) Hali ambayo mwanaume hushindwa kutoa mbegu zenye afya na idadi ya kutosha ili kurutubisha yai la mwanamke. Sababu kuu: Idadi ndogo ya mbegu (low sperm count). Ulemavu wa umbo au kasi ya mbegu. Varicocele (mishipa kuvimba kwenye korodani). Maambukizi kwenye mfumo wa kizazi. b) Maambukizi ya Mfumo wa Kizazi Urethritis – uvimbe wa mrija wa mkojo unaoweza kusababisha maumivu na kuchoma wakati wa kukojoa. Prostatitis – uvimbe wa tezi ya prostate unaosababisha maumivu ya nyonga, shida kukojoa, na wakati mwingine homa. Epididymitis – uvimbe wa epididymis unaosababisha maumivu na uvimbe kwenye korodani. Chanzo: Bakteria, virusi, au magonjwa ya zinaa kama gonorrhea na chlamydia. c) Magonjwa ya Zinaa (Sexually Transmitted Infections – STIs) Mfano: Kisonono (Gonorrhea) – maumivu na uchafu kutoka uume. Kaswende (Syphilis) – vidonda visivyo na maumivu na dalili za baadaye zinazoathiri mwili mzima. Herpes – malengelenge yenye maumivu. HPV – vinundu au visugudi kwenye uume au maeneo ya siri. d) Shida za Uume (Penile Disorders) Erectile Dysfunction (ED) – kushindwa kupata au kudumisha uume ulio simama kwa tendo la ndoa. Peyronie’s Disease – uume kupinda kwa sababu ya kovu kwenye tishu. Phimosis – govi kushindwa kurudi nyuma, husababisha maumivu na maambukizi. e) Saratani ya Mfumo wa Kizazi Saratani ya Prostate – saratani ya tezi ya prostate, hatari zaidi kwa wanaume wenye umri zaidi ya miaka 50. Saratani ya Korodani (Testicular cancer) – hutokea zaidi kwa wanaume vijana (miaka 15–35). DALILI ZINAZO ONYESHA KUSHAMBULIWA KWA MFUMO WA UZAZI KWA MWANAUME 💪 Maumivu au uvimbe kwenye korodani. Maumivu wakati wa kukojoa au kutoa mbegu. Mkojo au shahawa yenye damu. Shida kupata uume ulio simama. Uchafu usio wa kawaida kutoka kwenye uume. Vidonda au vinundu kwenye uume au maeneo ya siri. ZINGATIA HAYA NI VISABABISHI VYA CHANGAMOTO HII  Ngono zembe bila kinga. Historia ya magonjwa ya zinaa. Kuvaa nguo za ndani zinazobana sana. Matumizi ya sigara, pombe kupita kiasi, au dawa za kulevya. Msongo wa mawazo na lishe duni. Umri mkubwa kwa baadhi ya saratani. NINI UFANYE KUONDOKANA NA CHANGAMOTO HIZI KAMA MWANAUME  NA UWEZE KUTUNZA AFYA YAKO ?  Fanya ngono salama – tumia kondomu na epuka wapenzi wengi. Kagua afya mara kwa mara hasa kwa wanaume zaidi ya miaka 40 (kipimo cha prostate). Kula chakula bora chenye vitamini, madini, na protini. Epuka msongo wa mawazo na pata usingizi wa kutosha. Fanya mazoezi mara kwa mara kuboresha mzunguko wa damu. Epuka mazoea hatarishi kama pombe kupita kiasi na sigara. NI KWANINI NIMETOA ELIMU HII LEO  Afya ya mfumo wa kizazi wa mwanaume ni msingi wa uwezo wa kuzaa na maisha yenye nguvu za kiume. Matatizo mengi yanaweza kuepukika kwa mtindo bora wa maisha, uchunguzi wa mara kwa mara, na matibabu ya mapema. 🧠Kumbuka: Kumjua daktari wako mapema ni bora kuliko kumtafuta baada ya tatizo kuharibika.

About