@hamzamkumbi: #katuga #heche #chadema #tiktoktanzania🇹🇿 #lissu

mkumbihj
mkumbihj
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 06:05:14 GMT
15053
420
86
17

Music

Download

Comments

furahaluge2231211358217
Mr Furaha Luge. :
katuga kailetea heshima serikali
2026-09-19 18:37:13
6
addy.victor8
addy victor 🦋 :
Aaah uyu mtu me kanifanya niogope mambo ya mahakaman🤣🤣🤣
2026-09-19 17:43:18
10
yahya.majid48
Yahya Majid :
heche alibaki kusema sijui 😅😅😂😂
2026-09-20 14:02:30
1
meleet.zacha
official_letique :
ila Lissu ni baba yao
2026-09-20 14:51:32
2
atupelemwakwijang
Godlove :
hakikisha usimkute Nassoro Katuga 😂😂😂😂
2026-09-20 08:07:55
2
jestonelazaro
chuga :
hivi mnamjua peter kibatala????
2026-09-20 09:37:18
1
yaoboy23
MASANJA 97 TRUCK DRIVER🇹🇿 :
uyu jamaa katuga noma sana
2026-09-19 17:17:50
2
maja_maja2020
maja :
huyu Lissu only anamweza
2026-09-19 19:53:22
3
stivinmrm1
MR. s :
anajua lakini hajui mbele ya wanaojua nchi hii inamiamba wa sheria sio huyu mnaepambana kumsifia wapo wanshera wanajitangaza wenyewe sio kutangazwa
2026-09-20 04:17:28
1
by.liko
by Liko :
sijui,sifahamu,sijasema sauti kwa mbaaaaali kama yangu,hiyo ni AI,sijui,sijui,ninazo mbili,sijui,sijui,sijui,mkutano haukuwa na mwenyekiti,muongeaji mkuu alikua mwenyekit,sijui,sijui sijui sijui sijui sijui sijui sijui sijui sijui sijui sijui sijui sijui 😭😭😭😭😭
2026-09-19 14:16:56
3
alexgwilla
Alex Gwilla :
Kiukweli Katuga Wamoto sana hii kesi imetufanya tumjue huyu Mwamba.💪
2026-09-20 06:13:55
1
mylifestillmylife
My Life Still My Life :
Charles wa tarime Kuna ujumbe wako huku
2026-09-19 12:38:31
4
user2993510260071
user2993510260071 :
💯💯💯💯💯ila KATUGA balaa kuliko kawaida
2026-09-19 14:56:33
2
user8611546348787
user8611546348787 :
ila Katuga. Mungu akutunze
2026-09-19 17:56:53
1
user4528800760593
user4528800760593 :
Ni vile tu Heche hakujua kama wamesha mchokonoa hadi pa mwisho.
2026-09-20 08:56:25
1
binzanzibar
Bin Zanzibar :
mahakamani ndio ninii..!!!???😳😳😳
2026-09-19 18:53:27
1
ramadhani.mzome1
canjani owen :
ikitoka hapa dada wa taifa hajiandae chadema wamesha hanza kumkataa
2026-09-19 18:22:48
1
by.liko
by Liko :
Mimi shahidi wangu ni Charles,ntachomoka kweli naomba ushauri
2026-09-19 14:11:52
3
paulkihengu
Walid :
super katuga umeleta heshima
2026-09-19 16:37:27
1
saan_tz
saantz :
Joni,chalesi ,John,Charles, chales
2026-09-19 13:18:43
2
kizingw.sadiki
KIZINGA CHINGA :
heche alitulia mwenyewe
2026-09-19 15:06:09
1
kitojo04
Kitojo :
"Jinai haiozi" "Mahakama sio mama yako"
2026-09-20 04:28:01
2
mansulijuma59
Mansuli Juma :
huyuu mwamba😁
2026-09-20 04:21:00
1
josephkatetemela
user12625941442164 :
kisu kiboko yao
2026-09-20 12:46:12
1
josephkatetemela
user12625941442164 :
lisu kiboko yao
2026-09-20 12:46:29
1
To see more videos from user @hamzamkumbi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About