Chaks gomc 2000 babu nenda mbagala to mbande 1000 bado folen folen chaxk easy tooo kaka CHAKS MABEGANI
2026-09-23 02:32:26
1
. Niffer 💦 :
k koo chanika
2026-09-19 19:29:36
2
🌹 🌺 🍓 :
mimi ni mwanamke nataka kuendesha bajaj sijui hata nianzie wap
2026-09-19 22:29:08
6
EMADALE :
sasa lout ndio kitu gani asee🤔
2026-09-19 21:22:00
3
official kevoo :
bunju kaliakoo
2026-09-19 15:49:29
2
🌿Kagasheki☘️ :
mie wa malamba ndio wamenichosha kabisa Yani Wana vijero vyao wamevi chenchi kabisa
2026-09-22 04:18:38
1
dungu :
tegeta to mbezi
2026-09-19 15:51:59
1
𝐌𝐓𝐀𝐅𝐔𝐓𝐀𝐉𝐈2️⃣6️⃣🇬🇧🐇 :
Alaf kuna chamnzi mbande 500
2026-09-20 09:21:16
1
ashraf :
bunju posta mzee nawaonea uruma
2026-09-19 10:22:07
1
New tunduma :
Apo kweli abilia wa kinyerezi jau sana
2026-09-19 21:06:43
1
janet collection :
kariakoo bunju...route ndefu nauli ef saba
2026-09-19 22:04:39
1
LuCa DoOn :
k/koo to ferry hii ruti inaelaa kuliko zote
2026-09-22 15:22:12
0
Ally_Scott45 :
iyo kinyereze mbezi Kwel nomaa yan
2026-09-19 22:18:05
1
#Father_wa_katoro 🤠 :
Wakuu nashukuru sijawai kupiga kidalala
2026-09-19 08:50:33
1
Costac Jeronimo :
dah kwel kinyerz mbezi ni fedha kinoma mwanang
2026-09-19 21:07:05
1
Remigi freemon :
luti ninayo iyona ngumu kwangu Mimi ni rangi tatu vikindu nauli uwaga aibadiliki nibuku tuu
2026-09-19 22:11:55
1
official Rich✅️ :
MWENGE TO GOBA RAHA SAN
2026-09-19 18:16:25
5
sorvivol Alex :
njoweni bagamoyo lodi kuna lodi
2026-09-19 13:21:36
2
@Director_Kenny :
Kamseleleko
MLANDIZI_KARIAKOO
2026-09-19 16:23:29
1
kaka Ras 🛺 :
ndio maana nakaza na bolt kibishi japo bei ya kijinga ilaaa afazali siku moja naenda kulala nimekuta abilia wanne kilungule nikawabeba bila kujuwa nauli sa11 alfajili nimekata gia mpaka rang3 nafika wanatowa jelo jelo nikawaambia nauli buku wote wakakataa na kusema tunapanda kilasiku jelo jelo niliumia sana sjarudia tena mpaka leo bola niende bod tupu
2026-09-19 10:14:33
3
Leo :
LOUTE ndo nn?
2026-09-19 13:47:17
1
TERRY 🛺 :
kaka mm nona ya tabata tu ubungo mwenge
2026-09-19 14:10:05
1
directordin :
mbagara vs gomsi
2026-09-19 15:45:48
1
MBELEI BOY🛺🦺 :
Goba mbez 😁
2026-09-19 08:49:52
2
To see more videos from user @moteifedrick, please go to the Tikwm
homepage.