@juice_asilia: Mchanganyiko rahisi wa matunda, mboga na viungo vya asili wa kuweka kwenye maji yako. 🍋🍍🥒 Ni namba ipi ungependa kujaribu kwanza? Ukitengeneza moja, tuambie umeipenda vipi! 👥 Mtag mtu ambaye angependa kujaribu maji ya detox pamoja na wewe. Like, Save kwa marejeo, Share na rafiki Follow @juice_asilia kwa mawazo zaidi ya juisi, smoothies, chai za asili na maji ya detox. #detoxwaters #detoxdrink #detoxdrinks #juiceasilia #healthylifestyle