tanzania hakuna tatizo la ajira ila tanzania kuna tatizo la vijana kutotumia fursa, ila ni mawazao yangu tu
2026-09-19 09:34:15
29
Rich_matelephone📱 :
CHADEMA wanaonaga kuendesha nchi ni rahis kama kuendesha baiskeli😀😀😀
2026-09-19 09:04:21
17
Kalila :
niliposikia tu mpira nikijua wanapinga michezo na sanaa
2026-09-19 12:41:32
3
Anismahram :
we unaesema tangu Nyerere atoke na ccm imefanya Nini Cha maendeleo Kila awamu changamoto ni zile zile maji,umeme,afya,na barabara ukubari ccm wamefelii so wapeni wengine wajaribu
2026-09-19 12:05:40
0
TANZANITE :
eee eeee eeee
2026-09-19 08:13:19
4
Cde.ahmad :
Shoot of target
2026-09-19 12:07:48
2
Tajiri wa Kasulu :
ccm itadumu zaidi na zaidi
2026-09-19 09:08:49
2
treyshan🇹🇿💕 :
CHADEMA wanachekesha kama hawapatikani nchini kwako🥺🥺🥺kwahiyo tusiwe na madaktari
2026-09-19 08:13:45
3
Mwamposa :
china sio machawa wa Magharibi,wanataka kujifaidisha wao wachache,tunataka mabadiliko ya kiuchumi sio siasa,mtihani hawa watu bora Lipumba alikuwa na sera za matumaini...
2026-09-19 08:18:09
2
yanlu sun :
kwani ccm toka wamepewa nchi tatizo ra ajira rimeisha maana kunawatu awanakazi hadisss akuna faida ya.ccm wara chadema wote niwaongotu maana hatupati faida yoyote wanachojua nikumiriki mari waotu unajenga hospitari mm nikienda naripia ss apo faidayake ikowp wakatinatoaerayangu mimi
2026-09-19 11:11:25
0
clever9 :
sasa captain unasema wakipewa nchi!!! wapewe na nani!!? wehu hawa
2026-09-19 09:08:32
1
Weckson Milambo :
kwa hiyo ww unaona ccm wao wapo sahihi
2026-09-19 08:50:37
0
Mjukuu😎🤓 :
Ndomana ccm ngumu sana kuwaondoka madarakani maana wameweza kuweka ujinga kwenye watu sisi mfano hapo ukiacha na maelezo mengi Ila point yake ni system ndio chanzo cha matatizo yote bongo mfano merit basing system ikiwa ndio kipaumbele cha watu kupewa nafasi Mbn issue ya ajira itaisha chapu sana maana ake nn watu wanashinda kwa Uwezo so ambae Hana Uwezo anasubiria nje Ila siyo watu wanakosa ajira kisa hakuna anae mjua pili sheria kali zinatungwa kwa watu walioajiriwa wakizingua wanafukuzwa ili walio benchi wapate nafasi kupitia huo mfumo ni rahisi sana kuchangamsha maendeleo na ubunifu kwenye nchi na ufanisi na mwisho kuleta maendeleo
2026-09-19 19:54:16
1
Rashkid :
kinachotusumbua sisi ni ushabiki wa uvyama tu, umimi, Kuna mwingine nae alisema hakuna tatizo la ajira ni opportunity mara sio opportunity ni skills,
2026-09-19 09:30:07
1
ngoningonnile :
hata usemeje tunawataka haohao ambao nchi hawaiwezi, nyie tumewachoka
2026-09-19 09:05:53
0
Kala Mzuluvendi :
Hakuna mtu aliyezaliwa anajua kuongoza tatizo ccm mnafikra kwamba wao ndyo wanajua kuongoza zaidi ya wenzao ndyo makosa ambayo wanayafanya sana Waafrika wahalibu bara letu
2026-09-19 08:23:03
0
Mohamed Issa :
wewe ndo hujamuelewa sisi waelewa tushaaelewa.
2026-09-19 08:29:36
0
AGIZA BIDHAA DUBAI :
Alichokisema jamaa ni cha kweli ila ni mpango wa miaka 20 sio kwa haraka China walianza kuandaa huo mfumo miaka 50 nyuma
2026-09-19 09:52:45
0
hassanxungura :
Swali tayari tatizo lipo mtatuaje jibu hakuna.. miaka 5 hata ukibadili mfumo wa elimu Bado Hujamaliza tatizo kiufupi hakuna watu hapa
2026-09-19 08:38:36
0
Daz_G_Enterprises_TZ :
Viongozi Wetu wengi wanafanya Mambo kwa Maslahi ya Watu Wachache, Ikitokea Mmoja anaefanya kwa maslahi ya Wengi ni either wamtoe au Aitwe kwenye Kamati ya Maadili..
.
Na Chadema Wanachofanya Ni kupiga na Kupaza sauti Ili Viongozi Wasikie na kuona, Either Waboreshe Baadhi ya Mambo yafanyikayo (Mipango mikakati na Mifumo).
Lakini Badala Yake kwa Ccm Imekua Uadui Mkubwa Hadi kufikia kuuana, Kutekana, Kukamatwa na Kubambikiziwa kesi...
Mimi ningeshauri Serikali, Katika Vitu vyote Chadema Wanavyopigia kelele Serikali Ingefanyia kazi Walau 50%, Ili Chadema wakose la kuzungumza Na Sio Kufungia Mikutano ya Hadhara, Sio Kuua Wala sio Kuwafunga Midomo..
.
Leo hii Ukiongea Kauli Hatarishi kama Wew ni Ccm Upo Safe Ila Kama Upo Chadema Your In Trouble... Hii Sio Sawa..
2026-09-19 09:47:10
2
pilimmbaga :
hahahaha wawawezi kabisa
2026-09-19 08:11:45
0
martinmpogoro :
Nini Maana ya KOMBA?
2026-09-19 09:31:17
0
MTEMBEZI :
tanzania hakun tatiz la ajira Kuna tatizo la kifedha 😂😂😂
2026-09-19 20:06:20
0
To see more videos from user @cpt_komba_jr, please go to the Tikwm
homepage.