oya siopowa nmerud nmechoka strss za kaz mtu ananiambia et leo zamu yko kubembeleza mtoto mm nmekaanae kutwa nzima😢😢😢😢
2026-09-22 10:10:44
120
She is sahiya 🌸✨🤍 :
Babe mbona mchana hukupokea simu ulikuwa na Nani?
2026-10-13 20:14:14
4
🅽🅶🅴🆃🆈🅼🅰🅽 💎 :
nakumbusha tena ukipata nafasi ya kuwa single usiichezee
2026-09-22 12:43:39
66
nebacollection :
Wangu huwa anafurahi sana kurudi nyumbani tunaishi kwa Amani sana ni mtu hapendi makelele bila sababu hata Mimi sipendi makelele basi 🥰🥰🥰 akinikosea anaomba msamaha nikikosea naomba msamaha basi raha tupu🥰🥰
2026-10-10 19:57:56
5
Emmy class boutique :
nakusubilia asubuh nimekuliza swal hujanibu
2026-09-22 08:27:09
44
Grandstore_02 :
Naomba unijibu swali langu la asubuhi ndo ulale🤣🤣
2026-09-22 21:10:18
27
💋💋Nilam wa Mudi 💋💋 :
mimi niki ludi nyumba nafany majukumu yangu ya mwanamke niki nikipanda kita dani nilale na mbiwa kwanini wateja wakija dukani una cheka kwanini uteja wengi wana ume yani apo nisipo jiongeza nita lala saa9 kuna muda natamani nitulie nyumbani tu nilehe tu wa toto na choka mm
2026-09-23 09:18:05
14
Irene Mmassy :
😳naomba mungu anipe mwanaume mpole maana siwezi kuongea mimi labda anionee yeye jmn ila poleni wanaume kuna watu wanamidomo jmn
2026-09-23 03:35:48
28
nibretstudio :
mm nimechoka na kazi za siku nzimaa mixer stress za wateja nafika nyumbani naambiwa baba leo zamu yako kuwafundisha watoto homework.. daah