@sutibega_: HAPPY BIRTHDAY MDOGO WANGU KIPENZI @dee__bega ❤️ Leo ni siku ya kipekee ya kusherehekea siku njema kwa Mdogo wangu mwenye akili, heshima, busara na moyo wa kupambana Boss wa #SUTIBEGA👔 Hakika umeendelea kuwa zaidi ya mdogo kwangu; umekuwa mtu wa muhimu sana katika safari yangu, na nimeona hatua zako, juhudi zako na namna unavyoendelea kukuza biashara zetu na kutengeneza historia yako mwenyewe. 👊🏽🔥 Pongezi nyingi sana kwa hatua zote ulizofikia. Najivunia sana kukuona ukikua, ukijifunza na kusonga mbele kila siku. 🙏🏽❤️ Maombi yangu kwako ni Mungu azidi kukupa hekima, busara, afya, mafanikio na moyo wa kusikiliza. Kila hatua unayopiga iwe sababu ya kufungua milango mikubwa zaidi katika maisha yako. 🤲🏽✨ Nakupenda sana mdogo wangu! Endelea kuwa wewe, endelea kung’ara na usiache kuota ndoto kubwa. Na sasa… 😂😂 Bado unaidai Anaconda au umebadilisha mawazo? @dee__bega SOON JIANDAE! 🚙🚙🚙🚙🤝🔥 🎂🥂 HAPPY BIRTHDAY, BOSS ❤️❤️❤️
SUTIBEGA_
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 07:37:48 GMT
Music
Download
Comments
YoungMeku :
very nice..
2026-09-19 21:16:32
0
nicole :
hbd
2026-09-19 19:46:12
0
Dee-bega :
Asante sana kaka yangu kipenzi nakupenda 🥰🥰🥰
2026-09-19 07:42:07
0
user8139525108550 :
kaka yng nakufatiliya san kwa kweli 👌👌👌👌 wow
2026-09-19 17:36:43
0
user3651606973452 :
wow
2026-09-19 07:46:51
0
🧕Gud girl❤️🩹 :
Allah akutunzie zaidi uwapendao na uzidi kuwaonyesha upendo
2026-09-19 08:15:17
0
mohamedharibu :
😭👋🙏
2026-09-19 15:50:35
0
To see more videos from user @sutibega_, please go to the Tikwm
homepage.