@vitalcaretz: Kama unajali afya ya ini, ni muhimu kuzingatia lishe bora kila siku. Baadhi ya vyakula vinavyosaidia kutunza afya ya ini ni: ✅ Mboga za majani (mchicha, matembele, sukuma wiki) ✅ Matunda kama papai, parachichi, machungwa na embe ✅ Kitunguu saumu na tangawizi ✅ Beetroot na karoti ✅ Oats na nafaka zisizokobolewa ✅ Maharage na protini bora ✅ Samaki wenye mafuta mazuri ✅ Kunywa maji ya kutosha kila siku Pia epuka matumizi ya pombe, mafuta mengi na vyakula vyenye sukari nyingi kupita kiasi. Kumbuka, afya ya ini hujengwa kwa maamuzi ya kila siku. Kufuatilia afya yako mapema na kuzingatia lishe bora kunaweza kusaidia kulinda ini na mwili kwa ujumla. Karibu kwa ushauri zaidi au Kama unahitaji ufafanuzi Zaidi karibu what'sup+255776740443 #creatorsearchinsights #dubai #usa #liver
VITAL CARE TZ
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 07:42:04 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @vitalcaretz, please go to the Tikwm
homepage.