@kenyonyo01: #creatorsearchinsights #viralnow kabla ya kumwambia mtu kitu jifikilie kwanza nikimwambia mtu ichi kitu atakipokeaje😣 je atakua kwenye hari gani na je kweli kina ukweli ndani yake🤌 wahenga wanasema fikilia kabla ya kutenda🤔 some times kukaa kmy na kupuuza vitu inasaidia sana kutuliza moyo #kilalenyekheri litakuja kwangu#muda lafiki wa kweli😓🙏