Muumini akitaka gari anaombewa ila mchungaji akitaka gali anachangiwa🤣🤣
2026-09-19 15:36:14
16
lukangisa :
[Tears of joy][Tears of joy][Embarrassed][Big LOL] umeuwa
2026-09-19 10:19:35
0
Dickson Makobwe :
tofautisha huduma na maisha ya watu
sometime mnaongea tu ila hamjui mnaongelea nn
2026-09-19 10:51:44
10
Athumani Juma :
@[Pray][Pray]
2026-09-19 20:00:36
0
Timan Dasikoi :
broo uwe unajuwa unachokisema waheshimu watumishi wa mungu
2026-09-19 15:28:20
6
Ana Damiani :
kweli kabisa wanacheza na akili zetu hawa.
2026-09-20 07:14:29
1
Israeli Jerome :
Soma neno kaka. Bwana Yesu ndiye mlinzi.
2026-09-19 20:49:17
0
Victoria Ngokwe :
wala bado ujanishawishi mimi na mafuta ma maji ya mwamposa uniambii kitu
2026-09-19 11:52:12
5
Mirando :
kama kaongeya ukweli like hapa
2026-09-19 18:44:54
5
Sammweli Ginga :
imendaaaa hyooooooo
2026-09-19 09:59:00
2
ally :
MMA SHA ALLAH TARATIIBU WAJA WA MW/MUNGU HUENDA MUDA MFUPI SASNA WATA AMKA IN,SHA 🙏🙏🙏♥️♥️♥️
2026-09-20 04:14:59
3
Debbie💞 :
niliwahi coment kwenye poct moja nikasema, nitajiombea mwenyewe naamini katika kujiombea cyo kuombewa mtu mmoja akanijibu akasema nitakufa niende motoni mm hunishawishi kuhusu maji, mafuta nk maombi yangu yanatosha hata nicpojibiwa kwa wakati najuwa atanijibu kwa muda wake
2026-09-19 19:58:45
2
Grace kitumi :
Mambo ya kiroho
2026-09-20 04:05:16
1
Suzie Sayi :
haswaaaa🥰🥰
2026-09-19 10:04:18
2
Farhaty Mangu :
umesema kweli kabisa kaka ang
2026-09-20 05:12:18
0
zawadi mayunga :
wewe mbona kama tulisoma wote mipa aunakufanamisha nasoro juma
2026-09-19 19:35:58
0
kurwa002 :
kama umeelewa ndio umeokoka nduguyangu
2026-09-19 09:22:39
7
Bonitha :
ukaona na wew umeongea ee
2026-09-19 13:10:07
0
Kakule Kavalami :
ma caméra de surveillance
2026-09-19 12:48:45
1
A. M. C. benjamin chers :
sana kaka
2026-09-19 08:40:49
2
Mariam :
mimi mafuta ya mwamposa ni ndo kla kitu kwangu
2026-09-19 15:47:53
0
simonjoseph :
Hiri jamaa narikubari sana rinajitambua👍👍
2026-09-19 21:48:06
2
Betha Obagi :
umesahau na camera kama zote
2026-09-19 11:19:05
3
To see more videos from user @nassoro__, please go to the Tikwm
homepage.