@jesse_elites: UNATAKA KUANZA BIASHARA YA JUICE MWAKA 2026? Hiki ni kipindi sahihi cha kujifunza biashara inayokua kwa kasi na yenye fursa kubwa ya mapato. Jiunge na Madarasa ya Biashara ya Juice yatakayoanza tarehe 1/10/2026 na ujifunze hatua kwa hatua namna ya kuanzisha, kuendesha na kukuza biashara ya juice kwa mafanikio. UTAJIFUNZA: ✔ Aina mbalimbali za juice na faida zake ✔ Namna ya kutengeneza juice bora na salama ✔ Upangaji wa gharama na bei za mauzo ✔ Ufungashaji na uwekaji wa chapa ✔ Masoko na mbinu za kuongeza mauzo ✔ Siri za kufanya biashara ya juice iwe chanzo cha mapato endelevu Darasa litafanyika kupitia WhatsApp Group kwa mwezi mzima ili kuhakikisha kila mwanafunzi anaelewa kwa vitendo. Ada ya kujiunga ni Tsh 20,000/= tu. Kwa maelezo zaidi na kujiunga wasiliana nasi: Jifunze leo, anza biashara kesho, na ujenge chanzo cha kipato kitakachokusaidia kufikia malengo yako ya kifedha. #fyp #trending #viral #viralvideo #foryou
ach tu nikufollow maan kil nikiingia lazm nije kuon umewek nn leo😍
2026-09-19 10:17:10
2
Irene 💜 :
kwan kwenye glass huwa unaanza kupaka nn
2026-09-19 13:17:26
3
luxebyriri :
je uwez weka passion badala ua embe
2026-09-19 10:56:19
1
Da neema :
Mate sasa😋
2026-09-19 17:35:08
0
BR 3562 :
vikiwa vitam san vinakela maramojamoja weka pilipil bn
2026-09-19 17:03:34
0
MISS GRAINNOC💫💦 :
hayo maembe sasa yakiwa frozen alafu ongeza na plain yogurt kidogo utajilamba😋😋
2026-09-19 15:22:36
0
Moyern :
ME KITAMBO TUU NACHEMSHA MAZIWA NA GANDA LA CHUNGWA
SABABU HUWA NAPIKA CAKE
CAKE HUWA NAWEKA HILO GANDA LA CHUNGWA KUKATA LADHA YA YAI
THEN HIZO EMBE ZINAITWA
APPLE MANGO
ZILIKUWA ZINATOKA MOMBASA ILA
KWA SASA ZINALIMWA HAPA NCHINI
2026-09-19 13:57:48
1
happy 😁 :
mko wap
2026-09-19 12:40:01
1
Nurnaid :
sister unavitu adim shosti acha t 😉
2026-09-19 08:57:31
1
gracepaul🎀🦋 :
😍😍😍
2026-09-19 11:49:43
1
To see more videos from user @jesse_elites, please go to the Tikwm
homepage.