@drhamadatibaasilitz: CHUMVI YA MAWE. Imekua ikitumiwa na watu wengi kwa imani Kusafisha nyota,kuondoa mikosi au nuksi. 1.KUOGA CHUMVI YA MAWE -Changanya chumvi ya mawe kwenye maji ya kuoga (baridi au ya moto) -oga kuanzia kichwani hadi miguuni ukiwa na nia ya kuondoa nuski au mikosi. 2 KUSAFISHA NYUMBA -weka chumvi ya mawe pembezoni mwa nyumba yako. -hutumika kuondoa nguvu hasi 3 WEKA SEHEMU YA BIASHARA YAKO(JUU YA MLANGO AU DIRISHANI - unaweza kudekia au kunyunyizia maji yawe kwenye biashara yako. : Kumbuka ni mambo ya Imani MTANGULIZE MUNGU MBELE utafanikiwa #0793889562 #dranayesaidia