Kutofika kwa mashaidi hao tayari ni ushindi kwa Lissu. Huo ni mtego
2026-09-19 17:50:27
53
edco :
kwani lissu hajui kwamba hawata mtetea?
2026-09-19 12:49:44
18
𝗠𝗥. 𝗗𝗔𝗩𝗜𝗗 𝗞𝗜𝗡𝗚 :
jamaa ni genius ameandika page zaidi ya 1000
2026-09-19 18:28:00
17
user3611991609265 :
Ukweli ni kwamba kinachoendelea kwenye kesi ya Lisu ni ukiukwaji mkubwabwa haki za kisheria za watanzania. Haiwezekani uhaini kufanywa na mtu mmoja.
2026-09-19 12:55:13
14
SKY VIEW* :
waache wajae kwenye mfumo.
2026-09-19 13:21:17
8
Mikidadi Swalehe :
lisu mwenyewe ana cheka tu 😂
2026-09-19 11:17:53
26
efeka :
ndo mana elmino inakuja tz kwa sababu nchi teure imealibika
2026-09-19 18:21:18
6
EVEN :
jaman kwan haki iko wapi
2026-09-23 15:36:10
2
ELPHAZ JAVAN AMON AMON :
lakini wao ndo walinzi wa taifa lazima waje wathibitishe hilo
2026-09-22 17:49:35
3
mnyambo Grn :
ule mtego ,ndgu, lisu anataka wa tz tujue ,maadui ni akina nan
2026-09-19 11:59:10
18
mom g :
ikiwa Yesu aliushinda msalaaba hata hili Mungu atafanya
2026-09-19 14:03:04
13
Ms msomolo🥰 :
nachojua lissu anatoboa
2026-09-20 03:21:55
1
Charles Mbogo :
WATU WAELEWE KUA, SHAHIDI AU USHAHIDI NI MTU ALIYEKUWEPO WAKATI WA TUKIO LA UHALIFU LIKITENDWA MBELE YAKE AKILIONA NA SI KWA KUAMBIWA AU KUSIKIA KWA MTU WA TATU, SASA HAO WATU 3 ( CDF, IGP, NA CDI ) WOTE 3 HAWAKUWEKO RUVUMA WAKATI LISSU AKITOA HOTUBA YA UHAMASISHAJI VURUGU 29/10/2025. MASHAHIDI 4 NA WAKE YEYE LISSU WOOTE WALIUTOA JUU YA TUKIO WALIKUWEKO RUVUMA SIKU HIYO 03/04/2025. KISHERIA KIFUATACHO NI PANDE ZOTE AKIANZA LISSU KUTOA FINAL SUBMISSIONS ZAKE NA KUFUATUWA NA SUBMISSIONS TOKA DPP, THEN MAAMUZI YA MAHAKAMA KUTOLEWA HUKUMU.
2026-09-19 13:13:22
8
Massawe Junior🇹🇿 :
mungu msaidie sna Tundulisu
2026-09-20 10:02:52
8
j4 :
lissu ndio tanzania kwa sasa
2026-09-23 10:27:07
1
Aridi ndetewale :
minataka kujua waliyo leta mashitaka ninani ccm au rais au polic au wananchi mana munatuacha njia panda mbona
2026-09-23 19:18:23
1
gwau :
mungu akusimamie lisu
2026-09-19 17:25:07
5
Sima :
hakuna atakae ishi milele kila haki italipwa kwa Mungu baba mwenye enzi🙏🏻🙏🏻
2026-09-21 16:43:52
3
user3954858024324 :
Akili nyingi sana kwa lissu na Jedi
2026-09-19 12:41:50
10
@KIBONA :
@@KIBONA:Muumba mbingu na inchi na viumbe vyote vilivyomo vilivyo hai na visivyo hai tazana mtetezi wetu Yuko gerezani nakwomba ukasimame naye eeeh bwana wa majeshi mfalme wa haki na utawala naamini utamshindia mtumishi wako Antipasi lisu hakimu uwe wewe bwana umtete kama Kuna mahali ulikosea kama binadamu msamehe bwana yesu ninaomba nakuaamini Amen 🙏
2026-09-23 10:58:26
2
respickamenyaresp :
watu wa haki wanaoteseka sana
2026-09-22 08:32:15
2
its me :
nimekuja kugundua hawana cha kumfany lisu
2026-09-20 10:28:37
3
Adam :
hivi kwenye hii kesi kama mashahidi au watetezi ni viongozi wa juu je? ni nani mlalamikaji ktk Kesi hiyo?
2026-09-19 18:03:00
3
Qeen angel :
sa km shahid hajafika si kesi ifutwe
2026-09-20 12:11:20
4
Dutch :
Sema hata tukishajua xax tutafanya nin hatujazoea Kashi Kashi wa TZ
2026-09-22 16:48:50
1
To see more videos from user @hnswahili, please go to the Tikwm
homepage.