nakwambia wangu kazi yake ni kusaidia madui kunisema
2026-09-29 14:28:19
10
faith maingi :
wangu nikunisengenya na ma dada zake
2026-10-12 06:55:10
1
🦋🦋 Inyaa mumbe🦋🦋 :
nimeambia wangu Niko in labour akaniambia nikol dadangu anawatch ball 😏
2026-09-26 12:50:51
9
blessingbless31 :
wangu hawezi nitetea hata watu wamundanganye mambo hua huamini tu😭😭😭 Mimi Sina mtetezi kwa hii Dunia 🤦mungu ndiye mtetezi wangu juu nabebeshwa makosa za watuu
2026-09-21 08:53:15
15
official patricia ♥️♥️ :
mimi nishapigwa na ndugu zake kwa zamu na hakusema kitu
2026-10-05 11:23:37
3
S❤️e❤️x❤️I❤️e :
WANGU HAWEZI KUTETEA INFACT ATACHANGIA MBAYA SANA
2026-09-19 11:16:16
11
user4412554830253 :
like my husband ever there for me ata nikiwa mwenye makosa 🤣🤣🤣 i love you my hubby for free😂
2026-09-21 17:24:40
4
Bonfas Kennedy :
Mimi huu mwaka nimewekewa na kesi kama fifty wife ananigonganisha namabrothers wangu
2026-09-29 10:29:46
4
God's ❤️ :
na yule anaambia sidechicks wake mipango ya wife ya progress ni bwana au niachane tu na yy,,jibu hii plz
2026-09-29 12:12:40
3
userNYAR ALEGO,,💕♥️🥰😍 :
wangu atani chafua kuliko watu na kurudia watu wa inje ata kama nimekosewa mimi ndio bado nabaki wa makosa
2026-09-22 07:41:59
3
betty :
Mm wangu hawezi nitetea...Ata kuna siku alienda kunipiga ngumi tukienda mwili ya our friend moc..Alipiga ngumi sisi wawili hatukwenda mazishi...Imagn bwanako anakutandia moc😓
2026-09-25 12:18:21
1
lynnet :
huyo n kama bwanangu haezi niaibisha hadharani noo 🤣
2026-09-29 11:55:18
1
Stephen Githinji :
wao hawatutetei bana
2026-09-30 06:43:28
1
mrs said❤️❤️❤️ :
wallah umeongea point kabisa
2026-09-29 14:32:36
1
FRANK POWER SYSTEMS :
kwani nilizaliwa na yeye?
2026-09-27 18:45:46
2
Mercy Sherleen :
labda wa kitambo,,wa Sahi wanasupport kabisa hawawezi kudefend.💔
2026-10-02 05:40:22
1
Tuggiey :
sio wangu !!!
2026-10-01 04:46:28
1
💎princess💍💍 :
wangu hua ananidharau Hadi kwa marafiki zangu 😳😳😳😳😳
2026-09-21 04:03:03
2
Hellen kwamboka :
wangu hata kazi ni kuniaibisha tu in public😭😭
2026-09-19 15:22:06
1
Mas Ed's :
not only in public but also in family gatherings,,
2026-10-01 10:00:02
3
mama boiz wawili :
Wangu Ni public Na Mimi Ni Nani 😂😂😂acha tu ninyamaze
2026-09-19 09:57:57
3
Juliet Juliana :
umeongea ukweli kabisa.....juu ya hyo wacha nikufollow
2026-09-28 09:26:39
1
cate Kethi :
wewe ulikua wapi nikipata Yule💔💔😟
2026-09-22 15:17:16
0
Margaret Muthoni :
this is for real and mature .man
2026-09-21 12:44:09
2
To see more videos from user @joshmtetezi, please go to the Tikwm
homepage.