@lamu.taxidriver: FAINI ZA BARA BARANI ZIMEKUA NA SINTO FAHAMU JAMANI VYOMBO HUSIKA KUENI MAKINI NA UPIGAJI WA FAINI ZENU Mtasababisha wananchi wamchukie raisi kumbe wala #road #zanzibar #fain
mm wamenitumia msg kama niende dole kwa Silva lkm sina ata baskeli
2026-09-19 11:19:54
8
Bayser :
Bro ata usipate tabu gari inayo onekana kwenye picha ni gar ya serikali , maranyingi zinatumika na DC wa zanzibar.A gray Kia Sorento mid-size SUV featuring distinct vertical LED
2026-09-19 11:37:32
7
derector isco :
izo ni gar za serikal na mda mwengine hutiwa nambar wanazotaka
2026-09-19 11:24:18
8
African beauty :
wanatk kufosi ukisema uwambiwe unamdomo mimi nilasahau lesen nikataka kumuonesha kwenye simu akanijibu sheria hairuhusu apo apo akanambia nimpe pesa ya ubani nikamuuliza sheria inaruhusu ilo akapandisha hasira akanipiga risiti wakat sheria inasema ukisahau lesen unatakiwa uwasilishe leseni yako kwa askari alio kushika kwenye kituo atakacho kuwepo kabla ya siku tatu ikipita apo ndio anatkiwa atowe risiti sasa ivo wanavyo fanya wanatufnya sie ndo shria hatuzijui kwsabbu hatushindi na ayo matabu chochote atakacho ongea dereva ni uwongo wakweli wao tu imani hawan
2026-09-19 11:03:55
2
@dr HASSAN :
iyo gar ya serekali rabda serekali walipiwe na wananch
2026-09-19 11:44:08
1
#PRINCE :
gar izo nying za smz na wanatia nmba feki wakiwa hawapo makazini wanatembelea iz nmba za w2 wngne
2026-09-19 15:33:48
1
user5612314036930 :
iyo inaitwa kia sorento iyo ya umeme
2026-09-19 13:09:22
2
Azizi :
innallillah wainnailaihy rajiun
2026-09-19 12:47:38
1
@hmed Aly :
faini kaka ndo vzr watu wapate kutia akili tembeeni nchi zilo endlea muone msilalamike bwana ajali ni nyingi unguja
2026-09-19 15:13:45
1
Ngwabaya :
Watu wanaweka namba feki na ikitokea unakwenda kutoa report
2026-09-19 11:29:50
1
Hitman :
uzembe ni kutoa plate no 1 gari tofauti
2026-09-19 12:13:03
1
bekanduru :
hyo gari ni gari ya smz ila wamebandika namb za watu ili kuekeana kesi
2026-09-19 11:07:08
2
oma23 :
hahhahaha iyo KIA
2026-09-19 12:48:50
1
Officiall_SALIM❤️🩹 :
kaka usilipee
2026-09-19 10:53:33
1
Aima :
check na serikali
2026-09-19 12:24:55
2
MAKELELE :
hii kia ni smz hii no ya private wamebandika kwa pin
2026-09-19 12:33:05
1
Abuu Nawfal :
yangu mimi ilala nyumbani inafika mwezi sasa ntumiwa sms ya makosa ya uegeshaji gari barabarani faini 34000
2026-09-19 12:05:24
1
user7530461678493 :
hizo ni gar za serekal
2026-09-19 12:16:52
1
Nyota ya kheri🌟 :
Hii ni dhulma ya wazi wazi kabisa daah.
2026-09-19 12:14:03
3
@@Summa :
hio n Gari ya SMZ babu izo nmba wanatumia t
2026-09-19 11:19:33
1
Ahmed Juma :
sie nchi yetu bado maendeleo wakuu tunayataka tyuu ya watu wakuu
2026-09-19 12:13:46
1
magixx :
izo KIA gar za SMZ wanabandik namb za kawaid wakiw n nasafar zao binafsi kwaiy wala usipat tabu😁😁😁
2026-09-19 12:20:41
1
Wattemi431 :
HON jaku alisema gari za serekali zinavunjasheria mfano ndio huu istoshe ina usajili sio wake sas watueleze sas !
2026-09-19 11:41:14
2
Yahya Ali :
Iyo ni gari Aina ya KIA na ni Za Serikali zikiwa za milango minne ya mlangi mmoja ni ya watu Binafsi. katoweni taarufa kwa silva na hifazini taarifa zenu.
2026-09-19 12:15:31
2
mrswaggar :
kwani hamjui kinachoshindikana duniani zanziba inawezekana
2026-09-19 11:45:21
5
To see more videos from user @lamu.taxidriver, please go to the Tikwm
homepage.