@phones_distributor: Watu wa samsung , je uwahi kutumia hii S pen? Je unazijua kazi zake?? #spen #s24ultra #s25ultra #s26ultra #note20ultra

Phones_distributor
Phones_distributor
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 09:58:11 GMT
29212
793
152
12

Music

Download

Comments

jmkboy76
JMKBOY @89💦 :
inasaidia vitu vingi unaweza kuifany kam remote ku controll camera ku take notes kam pia ni mtu wakupenda kuchora inasaidia pia inasaidia pia ata kioo ki sipo kubali kutouch na mkono unawez kutumia pen na ikafany kazi vizr na ikakusogeza unavojipang kununua kioo yaan kiugupi samsung wana teknolojia ya mbele mim binafsi natumia note20ultra
2026-09-19 11:00:23
37
mswat788
mswat :
hii ni special kwa samsung kwasababu samsung izo s series zina changamoto ya kuganda display au kwa lugha nyepesi huwa inaganda kioo ikitokea imeganda kioo mkono huwezi ku touch apo ndipo s pen hufanya kazi yake
2026-09-19 17:19:11
10
jesca.benard4
jey vitenge :
mkuu mi pen yang iligoma cjui shida nn
2026-11-05 12:50:57
1
marcellino1608
Marcellino. :
Yangu imeganda hiyo haitoki kaka so nifanye nn mka itoke au nimpeleke fundi??
2026-09-20 07:03:57
2
tinaxhealphonce
tinaxhe alphonce (Jacob mom🌹) :
mi s pen yangu haifanyi kaz imeacha ghafla tu ,natumia s22ultra
2026-09-20 15:19:37
2
givembwilo0
Give mbwilo🇹🇿 :
S-pen ni nini?
2026-09-19 11:41:31
2
salim_zzzzz
salim :
kupiga pic , recording , scrolling vote ivyo without touching the phone
2026-09-19 18:18:35
1
bonifacekapama
boniface kapama :
inatumika kama kidore chaziada kwenye matumiz yoyote kwenye cm yako kuandika au kutumia vyovyote
2026-09-21 06:18:14
1
sarehezuberi
talent :
cjui
2026-09-19 10:08:34
1
shuby732
shuby🧚‍♀️🧚‍♀️ :
Asilimia kubwa watu wa maofisin hutumika kusain
2026-09-25 17:40:20
1
cutepieothuman
@cutepieothuman :
mm s pen imeharibika cwezi kuitoa yan imeganda ndani kile cha kuvutia kimechomoka je nipeleke kwa fundi au?
2026-09-27 20:03:54
1
isumailmdoe1
MDOE UMEME MAGARI :
kioo changu hakitach hio inakua mbadala
2026-09-20 11:30:48
1
nchoraka
NCHORA ZOOOM✅️ :
kwa mimi bana kama pambo tu
2026-09-19 16:09:11
1
amanimhando95
amanifundikupauwa :
hii yakwangu naitumiaga kama simu yangu ikisizigi
2026-09-19 19:24:15
1
director.mwango
Director Mwango :
mimi natumia kuchora katuni kutumia nikiwa na maji mkononi hata vumbi pia istoshe kioo kikiwa kinaganda unatumia
2026-09-20 10:09:51
1
shebyally2
Sheby Ally :
screen ikigoma unaitumia kama emegency [Tears of joy]
2026-09-19 16:12:30
1
fubu95
fubu95 :
kinasaidia kupungusa matumizi ya bando
2026-09-20 09:23:41
1
cp_pictures
CERTIFIED PREMIUM PICTURES :
mr naitumia kwenye ku edit picha
2026-09-19 19:45:51
1
emmanuelbartholo7
Emmanuel Mathias Bartholomew :
was this possible
2026-10-01 18:20:35
1
amina_mzigua
amina_mzigua :
ata yangu aitoki
2026-10-15 11:02:08
1
hotae479
mr, p :
iyo nikwajili kioo kikipata iti laf ndo unatumia hiyo et
2026-10-01 18:06:33
1
scorp_ion77
SCORPION 🦂♏ :
yangu note 20 imekufa kioo haitachi kwa mikono lakini inakubali kila kitu kwa kutumia s pen imenishangaza lakin nashukur inanisogeza
2026-09-19 10:41:10
1
jesca.benard4
jey vitenge :
mm inisaidien camera imefel jmn na iyo pen haifanyi kaz et
2026-11-05 12:53:12
1
grace.nnko4
Grace Nnko :
inanisidia San jaman
2026-10-20 06:00:27
1
justodaniel471
Justo D Justo :
mimi kioo haitach hiyo ndo mbadala wake
2026-09-20 11:28:59
2
To see more videos from user @phones_distributor, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About