Ukinileteya samaki na kuku wakenyeji njo ntasema woooh
2026-09-20 14:37:34
6
Bint k :
Nilikua na boy tuliishi karibia miak 3 hajawah kuniita mke wng ss kn cku cjui kakutwa na nn ananiita mke wng nilichekaaaa🤣🤣🤣🤣 bd kdg nife nikamuuliz mm au umekosea bc alichukia 🤣🤣🤣🤣
2026-09-19 17:12:48
12
rosesaid :
😂😂😂😂ungeyaanzia mwanzo hata kama ni mimi siwez 😂😂😂