Hao wafanyabiashara[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-19 18:09:57
0
KILLER_002 :
Nottingham forest n Crystal palace umesahau[Teary eyed]
2026-09-19 12:23:02
0
Afya ya uzazi na yakobo :
tripleb😂😂
2026-09-19 16:54:42
0
Mr Babley tz :
hii ndio maan ya triple B
2026-09-19 16:21:48
7
falcon_villy :
sikia dada wachezaji wao hawachezi kistar kama team kubwa.. kooh wanajituma sana ili wapate team kubwa
2026-09-19 10:21:26
21
kitwalajr :
unajua sister 🔥🔥🙌🙌
2026-09-19 10:31:11
0
manchu boy 07 :
Kwnn hujatangaza matokeo ya Chelsie
2026-09-19 10:35:34
7
RozingaGG :
wachezaji wa team ndogo hucheza kujituma ili soko lao liwe juu...wakiuzwa kwa team kubwa mishahara yao hua mikubwa
2026-09-19 10:47:28
5
Khamis mbarouk khamis :
hao wachezaj wa man u mwanzo walikuepo huko kwenye hizo team ndogo na walikua wanakiwasha vzr t.....ila hizi team kubwa hua zina pressure sana ndo mana hawapaform vzr...ukiwachukua hao wachezaj wa team ndogo ukiwapeleka team kubwa km man u.....bado team itakua mbovu
2026-09-19 11:15:27
2
lamborghiniSVJ🎲 :
wee mremboo ayiiiii🥰🥰🥰😍😍😍😍🥰🥰
2026-09-19 18:41:58
0
DALALI_NELSON_DODOMA :
unajua paka unakeraaaaaaaaa🔥🔥
2026-09-19 18:15:57
0
Olivier paula :
ulituanzishia nuksi jamani
2026-09-19 17:57:55
0
williamtz 04 :
usimsahau Hull city😎😎😎
2026-09-19 18:38:58
0
Junior piere :
Lakin ni kweli umenena jambo apa😳
2026-09-19 16:59:04
0
Damdok :
umefanya mpaka nimekufollow
2026-09-19 17:15:01
0
kelvyolo :
sijuti kuku follow
2026-09-19 16:42:14
0
zangold tours :
hawana wachezaji wakali bali wanakamia game kubwa t 😁 na waganga wao wako vizuri pia 😁
Kuna Kpindi Kama Chelsea Walimnunua Wachezaji Wa kutosha, Wakaona Haitoshi Wakanunua Hadi Kocha Wao (Brighton....)
Kama Unakumbuka Graham potter
.
Ila Walipokutana Nao Chelsea Alipigwa Sana Tu. 🤣🤣🤣
2026-09-19 16:27:41
0
lucajr_presenter :
Uzuri dada yangu ulisema nilikusikiliza kwa umakini nika ua arsenal tiale 3-0 @jullz_peterk
2026-09-19 16:12:14
0
Kramo😇 :
Kutokana na matokeo ya Leo ya Arsenal dada Nakuelewa ukijumlisha na ya Jana ya Chelsea 😂😂😂
2026-09-19 16:08:47
0
Kenny prince :
hizi timu ni baya 🔥🔥
2026-09-19 16:57:51
0
To see more videos from user @jullz_peterk, please go to the Tikwm
homepage.