@mamab_tz: #wafiandoa #flypシ #tanzaniatiktok #mamab #trending

MAMA’B
MAMA’B
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 10:29:56 GMT
33727
1325
214
62

Music

Download

Comments

bumayee8
Aibu Utaona Wewe💪😘💫👌 :
Issues hishakuwa deep[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-23 17:49:11
0
user3807083460380
user3807083460380 :
mimi mpaka Sasa mume wangu kuoa naona ni ndoto sijamini hajakosa kitu kwangu nahuyo alio muowa hajnifikia kwa chochote
2026-09-19 14:10:06
19
mamy.mamy168
mamy chaks :
wake wadogo najua muko hapa munatafuta comment gani wenetu😂
2026-09-20 09:13:14
10
kashmiss_store1
kashmiss_store1 :
Nilikuwa jeuri akajua ananikomoa jeuri itaisha ila sasa iv ndo imeongezeka.
2026-09-20 03:52:14
9
anifer.mahundu1
Anifer Mahundu :
hahaaa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] lla mama tuseme tu ukwel ma biwakubwa mnajisahau sana mim ni bimdog lakin mumewangu nampa mizungu yote hadi kachanganyikiwa.
2026-09-19 15:52:30
3
lui492
user7808331305859 :
mm sijajaaliwa kizazi bwana anataka mtoto
2026-09-22 19:00:17
2
aishacharles2
Aisha Charles :
Uzazi wang wa shida. kaoa akitafuta watoto
2026-09-19 15:01:20
3
veronica.daud5
pretty vee :
walikuwaga na mahusiano kabla yangu
2026-09-20 05:42:17
2
mrs_hamed1
Mrs Hamed❤️🥰 :
Kwa sababu mm sina uzazi
2026-09-20 17:41:31
2
ainna.hemed
Madogirl :
MIMI ALINIAMBIA KABISA NAKUOA LAKINI NITAONGEZA MKE WA PILI HIYO IPO MOYONI MWANGU ALITILIA NIA
2026-09-19 11:59:25
6
userhanipha
userHANIPHA :
mimi wangu kaambiwa kwao aowe baada ya kupata hela
2026-09-21 19:44:43
1
rayya4100
rayya. :
mii ni wazazi wake maana nina wakwe zangu wa 4 .na mshemeji zangu wote wana wake wa3 wa4 wa2 yani ukoo huo wallah pambe ni maneno kwa kwenda mbele😂😂😂😂.
2026-09-20 19:27:32
2
bby.shaphaah
bby shaphaah🌺 :
mam b mam b umeanza kutugeuka
2026-09-19 12:11:14
4
use0757274277
felister Enosi :
tunaanza na ww ilikuaj kwako
2026-09-19 20:01:36
0
hamisa.betty
Hamisa Betty :
Doooh atasikumbuki wallah ilikuaje[Tears of joy][Tears of joy]nilimwambia tu nenda baba
2026-09-19 14:00:46
2
ruthwere713
Ruth2025 :
umefanya vzur kuwauliza wake wakubwa.....maana walituimbia taarab zikaisha😂😅😂😂
2026-09-19 17:18:29
1
mastura6484
Mastura :
hawana sababu ni tamaa zao Tu kipenz
2026-09-19 19:24:41
2
zaki_yah00
Iv_keylah❤️🥂 :
Ilo swali mke mwezngu anahitaji mwaka mzima kulijibu 😂😂😂
2026-09-21 13:26:08
1
lucymwinami34
lucymwinami34 :
hata m cjui hadi leo siamin🤣🤣
2026-09-22 18:27:40
1
user4168816865794
user4168816865794 :
kiukweli mwanaume hakunipenda Mimi ndonilimpenda ndoyakanikuta
2026-09-19 19:54:31
1
maryam.andrew
Maryam Andrew :
Si aliamua jamanii ila mama B 🤣🤣
2026-09-19 11:15:02
3
piliomari25
pili omari :
mama b mim mtakujibu mpk wew ujibu ilikuaje nawew mumeo akoa nasubili jibu lako namim nijibu kwanza kungwi wangu🤣🤣🤣
2026-09-19 17:04:13
0
taturajab0
Nakhuu collection :
kwa kwel tuseme ukwel tunajisahau sana na hasa tukishafika nae miaka mimg ndio kabisa tunajiachia na kuona waume zetu hawawez kuowa lkn hatutak kujisahau hujisahau na anaowa je ukijisahau na kujiachia
2026-09-19 10:44:46
3
user3776943792586
user3776943792586 :
haiwekek status dada mkubwa
2026-09-19 11:12:18
3
zuuh583
zuuh❤❤ :
unanifurahisha maan hubagui kwa wadog upo kwa wakubwa upo sas wew wangap???
2026-09-21 03:37:06
1
To see more videos from user @mamab_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About