nani anakumbuka hii nyimbo ya Mr Ebbo ya kamongo umemfanya nini pegere mbona anamachozi
2026-09-19 12:46:12
115
supermodo :
hivi kumbee alikufa jmn
2026-09-19 12:00:49
26
betram :
wasanii wa zamani mnaupendo sana mungu awape uzima na afya njema
2026-09-19 12:02:30
87
Miymah :
Ndo najua leo Kama alishafariki
2026-09-19 14:57:48
15
ronald jayrus :
naombeni namba ya ashley japo nimfariji kipindi hiki kigumu cha kumbukumbu ya baba
2026-09-19 14:51:16
14
naimayusuph1 :
uyo mtoto wa alotambulishwa mwisho kafanana sana na baba ake
2026-09-19 12:19:53
1
NOELY LUCKY :
dah mmefanya jambo la maana kabisa ase big up,
2026-09-19 12:55:39
13
Zainabu Magali :
nyie kumbe alifariki
2026-09-19 15:01:16
2
mushauri wa rais :
which country is this?
2026-09-19 13:45:17
0
tommyclassic4 :
kwan mr ebbo alkufa
2026-09-19 20:54:29
0
Diana princess :
walifatana na kanumba, na sharo na mme wa mwasiti nyieeee😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😱😭😱😢😢😢😥😥😰😰😰😰
2026-09-19 19:14:41
1
zu baby :
mist yeboo si yule aliyeimba mm mmasai na kikurachoo?
2026-09-19 18:26:39
1
realmamuu :
tulioenda kumtafuta Mr ebo tujuane 🤔
2026-09-20 04:08:11
3
Bakary mwandu :
Nuclear ya zaman ilikua Kali sana ilimaliza sana wasanii pumzka kwa Aman Eboo
2026-09-19 12:21:39
6
thobiasmanamba :
rip Mr ebbo
2026-09-20 04:24:04
0
CHOZZY SALUM :
Ndo nan uyo jmn au nilikuw sijazaliwa
2026-09-19 14:45:01
0
Babz. :
Nakumbuka sana miaka ya elfu mbili tukipenda kuangalia nyimbo za Mr.Ebo ..ata nlkuwa nadhani ni mmasai ..anyway r.i.p Mr.Ebo..poleni Ashley and Alisha..much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
2026-09-20 08:00:08
0
Mr Professional Curl :
MOTIKA REC..........yeeeeh!! dokta Rida a.k.a Msambaa motikolaaaaaaaa..... Mimi ni dokta Rida ni msaambaaaa😂😂😂😂 anayeijua hii nyimbo aniambie