@nabiijamesnyakia_: #fypシ゚viral #tanzaniantiktok🇹🇿

nabiijamesnyakia_
nabiijamesnyakia_
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 11:18:28 GMT
41261
1236
189
187

Music

Download

Comments

user613639105521
MIRRY LUX :
kkkkk They are crazy
2026-09-29 10:54:10
0
baby.yus1
༒•𝖀𝖓𝖑𝖔𝖛𝖊𝖉 𝕲𝖎𝖗𝖑༒💔 :
tuko wengi hatusaminiki kwa watoto wetu
2026-09-29 10:27:33
3
muhamed.seleman.s
Muhamed seleman Sultan :
mama kaongea ya mwisho nimeuza utu wangu kama huna mume unapitia mengi
2026-09-20 11:46:47
25
reneey304
Reneey :
Wamelogwa mama waombeee mungu
2026-09-26 15:29:35
3
innocentrehema
rehema 😍🥰 :
Mama kasema ukiwa mama na hauna mume unapitia vitu vingi sana kuakikisha unalea watoto wako nimeumia sana nakuelewa mama 😭😭😭
2026-09-25 06:07:30
14
oliveradam625
Oliver❤️ :
Kuzaa sio kupata 😭😭
2026-09-20 08:03:32
13
rose.makungu
Rose Makungu :
watoto wa sikuizi wataangamia
2026-09-26 03:23:37
2
magreth7051
Tufugeme malolo :
tupeni no za huyu mama jamani
2026-09-19 18:35:29
6
user688401595
Warda Sultan :
Wasamehe mama hawajui walitendalo zidi waombea
2026-09-19 12:59:42
9
user8380273840341
benadetha :
yaan mama hauko peke ako hata mama yangu wanamfanyia hivyo hivyo dada zangu
2026-09-24 11:19:14
3
aminamdoe955
Amina Mdoe :
watoto 8 jmn ni uchungu sana ....me mimba tuu inatak kuniiua moja je 8?
2026-09-27 10:05:31
6
user5125167190629
neema :
elewa neno nimeuza utu wangu pole mama 😭😭😭
2026-09-28 12:22:45
2
davidzera91
davidZera :
kweli kabisa tumeuza wengi utu wetu kwaajili ya watoto
2026-09-27 04:50:35
5
user34009300921591
colletha@🌷💝 :
Hii inauma sana mama pole mungu huyu huyu aliye kusaidia ukawafikisha hapo huyu hyu ndo atawalejesha nimeumia sana jamani au kwasababu mm sina mama 😭😭
2026-09-27 16:07:00
0
magreth.isaya4
Magreth Isaya :
ime niuma mama pole mungu yupo
2026-09-26 07:54:01
1
levina.herman
Levina Herman :
jaman dah niuchungu sana
2026-09-25 11:56:35
2
beatricemarumbo
Beatrice Bahati :
poleni sana wazazi wote wanaopitia magumu ya kizazi hiki.baba wambinguni tusimamie na vizazi vyetu.
2026-09-27 06:05:39
2
nyangombe03
nyang'ombe :
Sio Kwa mama angu aiseeee🙏🙏🙏😥😥😥
2026-09-20 18:10:17
1
user79848068399110
Frolida :
Mungu tutetee
2026-09-20 11:50:14
1
businesscoach6
Wema :
mhhhh jmn inauma
2026-09-26 12:13:18
1
severaagustino
severa :
hatakama mama nimchawi jamni, msimtenge hivyoo
2026-09-20 07:59:25
0
maggy_moshi
Moshi Margareth 🇹🇿 :
Tooo sad
2026-09-25 18:00:04
1
kyawede.tezarine
Maman tchadu❤️💕 :
Mungu samehe hawa watoto
2026-09-27 13:00:37
2
nataliamayo93
natalia :
mama wasamehe
2026-09-19 17:28:07
1
user356218502605
rose 🌹 ezra :
jamaan kuzaa sio kupata
2026-09-19 19:19:32
2
To see more videos from user @nabiijamesnyakia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About