@sebastianyobele: Kuna matter nilikutana nayo miaka kadhaa iliyopita ambayo ilinifundisha kitu muhimu kuhusu commercial & regulatory law. Kampuni ya mafuta ilipata hasara ya mabilioni kutokana na regulated fuel prices, petroleum levy na baadaye suala la import duty subsidy. Kisheria, nani anawajibika na advocate anapaswa kuanzia wapi? Kama ungekuwa wewe ndiye advocate wa hii kampuni, ungefanya nini? #CommercialLaw #PetroleumLaw #LegalEducation #UtmostAttorneys