Saluti sana Mkuu! Kuna wajanja wakisikia sehemu kuna dhahabu, wanaenda kulipia leseni haraka haraka zenye tarehe za nyuma na kudai wao ndiyo wamiliki halali wa eneo husika na wenye mashamba hufukuzwa au hulipwa fedha kidogo kama fidia ya ardhi na kisha hufukuzwa.
2026-09-19 17:17:41
4
mussa yohana mussa :
pameanza kuchangamuka
2026-09-19 19:38:51
1
young man :
saf sanaaa
2026-09-19 19:03:08
2
PAUL :
Shelia ibadirike eneo langu napangiwa namwenye lesen mtu akate leseni kwenye eneo lake
2026-09-20 03:24:41
2
Jere :
kiongozi ni mtu anatakiwa kuwa na busara
2026-09-20 01:54:30
2
Hamidu Bin Salim :
we Mbunge kaongelee Bungeni ibadilishwe Sheria sio polojo vikaoni
2026-09-20 05:37:51
1
user8694745083288 :
isije tokea kwangu
2026-09-20 13:30:09
1
FABIAN ALOYCE "Mithali 3:5-6" :
Kwani wenye leseni ni kina nani..?
Shamba langu ikionekana Dhahabu linakuwa la mwenye Leseni..!
Kivipi jamani..?
2026-09-20 04:54:12
3
Devd Paul :
kupewa % ipo sawa
2026-09-20 12:21:47
1
0jwang0 :
fidia sipokei na dhahabu haiwezi kutoka
2026-09-19 21:41:48
1
Hosea Daniel :
kiukweri wenye reseni wananyayasa sana wenye shamba
2026-09-19 23:01:51
2
alpha :
hiyo haijakaa sawa hata kidogo wewe uchimbe uvune mabilioni ya fedha alafu mwenyeshamba afidiwe milion 3 hiyo sheria yakufuta kabisa angalau kimacha chini cha shamba lenye dhahabu ingekua milioni 100 hutakikutoa acha
2026-09-21 14:52:57
1
mwandu :
kwenye shamba langu kuniogoza mwenye leseni😂😂😂 unachekesha
2026-09-20 09:15:30
1
wachimba madini tanzania :
Yani hii serikali kutoka kwenye asilimia hadi fidia kweli Yani milion3 ya Nini sasa jamani au fidia yanini sasa
2026-09-19 20:10:37
1
user2017881413036 :
mm naishauri serikali ipitie upya hii sheria ya madini maana wenye lesseni wanatunyanyasa sana hivi mtu nina aridhi Yangu unanihamisha unanipa milioni Tatu kwa heka inisaidie nini aridhi ilivyopanda bei muekezaji akiji mwenye eneo waingie Shea uwe unapata Alimia 4 kila wanapochoma zahabu
2026-09-21 11:41:01
1
kaznana :
Je vipi mwenye shamba ambaye anapewa asilimia na ananyanyasa wachimbaji
2026-09-20 05:31:35
1
elisha abel :
uko sawa kaka
2026-09-19 17:29:46
1
ramadhanludondi :
at makurugusi msasa Chato geita
2026-09-21 01:06:09
0
Nabii Alimas :
RC Mnyeti endelea kuwafundisha wakuu wa mikoa wengine wawe wawabikaji. HONGERA SANA MKUU
2026-09-20 17:46:02
1
user2017881413036 :
kupewa hisa Tatu au nne sio milioni tatu
2026-09-21 11:43:15
0
Elliakim madin 💎💎 :
hizi kesi n nyingi mno wenye lesen wanakuaga na vburi walioweng na viongoz mmeshindwa kushughulkia changamoto kama hz
2026-09-20 14:23:09
1
rugemalila :
Shelia yamadin mkoa wageita nitofaut nasehem nyingne. kanyindo mpakasasa wamekatalia ad vifaavyetu
2026-09-20 13:02:51
0
Tina Amos :
ubalikiwe sana baba Yani wenye leseni wanatutesa sana
2026-09-19 22:06:04
1
To see more videos from user @shambadigital, please go to the Tikwm
homepage.