@charm_chiccah:

Charm charm
Charm charm
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 11:57:18 GMT
123370
9181
965
514

Music

Download

Comments

jackyluxuary
jacky Divine luxury :
wanaume hawapendagi watoto niamini Mimi ukuona anampenda na ananuhudumia mtoto jua anampnda mama mtoto na anapata kitu kwa mama mtoto
2026-09-20 05:02:15
130
glow0547
Glow :
Hao wanaume wengi hawajalelewa na baba zao so they are passing the trauma to their kids so sad
2026-09-19 14:27:28
194
happy.paul73
MOM CAYLA 🫂🥰💜🖇️💦 :
Mimi sina Habar hata na huyo mwanaume kaniachia mtotoo Toka Ana miez 10 mpk sasa nalea mwenyew na anasoma English medium tena boarding school napambana usiku na mchana Japo so rahis Ila tunapambana sana ma single mother Mungu atusaidie na atusimamie 😭🙏🏻😩
2026-09-19 21:59:50
132
swanny9967
swanny🦋🦋 :
mim uyo Sina mda wa kunyenyekea Yani unavyo taka nataka wew🫵😂😂😂
2026-09-19 13:40:30
188
user6241156008054
mamaa :
that's the only thing I tell people.. the divorced lady are strong and single mothers are past the fear of losing anything
2026-09-21 11:42:01
0
lizymtawa
lizymtawa :
Na huo ujeur wanausema wao utakuta anataka awe anaendelea kukutumia kama kiburudisho chake wakat mmeshaachana tayar ukikataa ndio unaitwa jeur mara kiburi😅
2026-09-19 17:27:24
108
obakengimolemi
Jc lovei🤍🤎 :
Umetuwakilisha vyemaaaa😂😂😂
2026-09-19 13:26:27
101
mom.b41
Mom B :
nmekufolow umeongea vzr
2026-09-21 12:37:06
0
carly_endry
Carly :
Yani nimekutana na hii video level yangu ya ujeuri imeongezeka zaidi😅😅
2026-09-19 19:59:52
79
saumusaumus
Saumu :
MIMI 😄 HUO MDA 😄 WA 😄 KUHESHIMU 😄 MWANAUME 😄 NDO 😄 SINAAAAAAAAAAAAAAAAA 😄
2026-09-19 17:50:04
51
thatgirlmartha
Martha Nick Belmonte👑 :
this is for you my darling
2026-09-21 15:25:18
0
mumychenny_cake
MUMYCHENNY_CAKE👩🏻‍🍳🎂.. :
Charm unaanzaga taratibu … Alaf volum inazid kidogo kidogo 😂 I like that😂😂
2026-09-19 17:12:36
38
asnaadam1
asna adam :
fact aisee
2026-09-20 06:51:15
0
user13940417087086
happy :
Congrats,,
2026-09-21 13:21:33
0
2mumstylish
mum stylish 💋 :
niongee kwa kusimama au kukaaa 😁😁😁
2026-09-19 16:05:18
18
nanji2519
Nanji :
asante
2026-09-21 13:14:57
0
cwty27
cwty 🧞‍♀️🧞‍♀️ :
nimegundua ma single mother tupo wengi hatimae tumepata mtetezi
2026-09-19 18:18:22
29
___myrah._
Samirah💕💫 :
Moja kwa moja status😂👌🏻
2026-09-19 20:01:54
10
user84686377814862
Irish ❣️ :
Mirango inafunguka mpaka nashangaa 🥰🥰🥰🙌🙏
2026-09-19 15:45:36
16
navinabdillah
its vinny👸 :
moja kwa moja kumtumia babamtoto angu😂
2026-09-19 14:13:05
40
phinaofficial20
phinaofficial20 :
Yaaan charm hapa umeongea I love you🙌🙌
2026-09-19 12:06:38
52
witnessleonard28
wity🥰 :
Ila da charm 😍💓😍alafu sasa mungu alivyo wa ajabu ni ana bless tu
2026-09-19 13:15:28
57
minnycollection
Minny ommy :
ndo nliwah kumwamby wifi angu stakaa kumuomb uyo baba et naomb unsaidie hela ya mtoto ..yeye n mwanaum na anajua anamtoto kwahyo wajibu wake anaujua...na ten Yuko na familiar yake sahv swez kusumbua mtu na familiar yake anatakiwa kujiongeza yy Kam mwanaume sio nmkumbushe wajibu wake asipofany ntafanya mwenyw akitoa ntapokea ila stak mambo ya kusumbuan na mtu ..mwisho wa siku aje kusem me ND namsumbua na pia nkimsumbua ndo ataleta ukarib na me. ..hpn 🙌acha nionekane jeur .. na wasivyojua awa watoto n Baraka kubwa San kwetu Kuna mda nassem nsingekuw na mtot mpk. sas maybe nngekuw kwwetu na at hii kazi nsingekuw nayo
2026-09-19 17:57:26
34
momyethan22
Gethan👸🏾 :
shwaaaaa status sipendagi kuremba wooooyiii
2026-09-19 13:59:55
11
bintmwinyi
UMMY AYRA......🌺 :
aloooooo Yan wewe ndio rol model wangu yangu unanipa jeuri unanipa confidence kama mwendawazimu 😂😂💪💪
2026-09-19 17:01:21
16
To see more videos from user @charm_chiccah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About