hiyo sound ya kucheka Sasa [Laughing][Tears of joy]
2026-09-20 07:55:54
0
Godbless :
mnamkosea sana mungu
kwasababu hafananishwi wala halinganishwi
2026-09-19 21:24:59
80
T Wayne Tmk :
ACHA utani na Jesus Christ,my friends
2026-09-20 09:31:57
0
🔥Alex🙏 :
vp baba huko mbinguni mishangazi ipo
2026-09-19 19:21:24
41
kichenchere furniture :
Daaah ila wabongo hapana wallahi🙌🙌
2026-09-19 18:27:42
36
neema peter :
tiktok is better than my relationship 🥰
2026-09-20 08:46:51
0
jessy12🥰 :
nisamee mungu nimecheka sana maana duniani kuna vituko uwiii
2026-09-19 20:22:40
18
the real Saka 254 :
usilitaje Bure jina la bwana mungu wako either kiutan au katika aina yeyote Ile jamani tuwe siliazi utani na MUNGU tunapoteza nawasihi ndugu zangu tuache hii tabia na MUNGU atatusamehe na kumbe ubariki amen
2026-09-19 18:26:29
31
pretty g🍀🍀🍀 :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]nachokaa mm
2026-09-19 17:56:55
0
momo🌹 :
ila yesu🤣🤣🤣 kumbe mtandao unashika adi mbinguni na hamsemi🤣🤣
2026-09-19 20:42:25
12
laizer msukuma :
mmmmh kumbe mwalim alinidangany kuwa yesu ni nomino ya kipekee
2026-09-19 17:54:34
11
Wakitaa@21 :
uyo Alie sema umesahau kipigo. atatu ponza sisi jamani mungu nisameetu piah tuepushe na mabalaa
2026-09-20 07:31:42
8
🦋💫princess 💫🦋 of love 💫🦋 :
tumuombe sana Mungu maana masiala mengi sana.
2026-09-19 19:03:46
13
𝙎𝙖𝙡𝙡𝙮 💎 :
nisamehee
2026-09-20 00:01:07
0
king manhe❤️❤️ :
umeisahau misumali ety?
2026-09-19 17:23:20
5
Benedict Maganga :
oya bwana yesu naomba inyeshe gharika kama ya nuhu kule magogoni na kizimkazi nakuomba baba
2026-09-19 18:19:03
11
R.P 893KJ MBWENI JKT :
sema wale jamaa walikuwa wanapiga so poa kiukweli
2026-09-19 19:55:29
5
Mnene tozzy :
tunaomba inyeshe shule baba
2026-09-19 20:41:51
5
fatmah 🦋🦋 :
wanakungoja urudi kumbe upo tik tok Eeeeiiii
2026-09-19 19:07:24
5
it's happier :
Ila yesu hili swala analichukulia poa 😂😂
2026-09-19 17:53:36
10
TRAVIS..👑 :
mungu naomba mwisho ufike halaka nimechoka
2026-09-20 07:50:05
3
little g :
jamn tusijisahau sana 🙌
2026-09-19 20:39:35
3
dainas :
ila ianzie kwa kina Anko t pale
2026-09-19 23:21:52
2
@@qualf_48 :
bab kwan ujui kwa samia
2026-09-20 06:27:04
3
To see more videos from user @mr.pashani, please go to the Tikwm
homepage.