@msomi_motors: Karibu sana ofisini Elimu, Huduma, Za magari bora, Clearing & Logistics 0744122864/0682051285 #msomimotors #luxurycars #gari #expensivecars #foryoupage❤️❤️
Msomi 360
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 12:38:57 GMT
Music
Download
Comments
Charles Mboya :
sema nn..wote tutakufa mwenye anayo na mwenye asonayo..[Laughing][Laughing]
2026-10-01 07:18:00
2
Zamoyoni Amosi Jr :
mimi nagombana na wote fresh naomba ramani tu nianzie wapi
2026-10-06 11:36:05
1
Mchaga Org 🇹🇿 :
daaah chuma za ndoto zangu hizo yaan mi ntagombana na mungu na serikali😆😆😆😆😆😆
2026-09-20 14:09:57
2
KIDIA ONE :
Hakuna makosa ya serikali Bali ni mungu na wanadamu tulio kosa maalifa
2026-10-11 08:42:24
1
BAD MAN BARAKA STÉPHANO :
alafu iyo serikali inatnijuwa vizuri mi nanni
2026-10-08 14:33:10
1
Yunitte Pallangyo :
siwez gomban n mung kis mali
2026-09-20 16:29:58
1
Pascol🇹🇿🇹🇿 :
nikitaka kugomban both sides mungu na serikali ndinga zake n zipi?
2026-09-30 08:38:29
1
isayajaphet :
nimeamua nigombane na serikali
2026-10-09 18:51:54
0
Qute Edna🌸💕 :
NaMungu Yanazungumzika serikali sio waelewa 😂😂😂😂😂
2026-10-09 15:51:59
0
Luhkel Luh :
Io ya mwish kushuka. inaitwaj at?? make daa so kwa umeme uo
2026-09-21 17:41:39
1
Masanja darushi :
dah mungu bless
2026-09-26 17:48:25
1
Hamic :
wakat ukifika hata maji hatapita kwenye chujio yatabak kwajir yetu nyie tumie 2
2026-10-02 11:43:59
1
Antidius Grasian Karada :
miliki Kwa macho2 kama hauna
2026-10-04 19:46:08
0
halid 🐕 :
😂😂😂
2026-09-19 13:50:25
1
To see more videos from user @msomi_motors, please go to the Tikwm
homepage.