@kidu_works: Watu 121 walipanda ndege wakiwa na amani kabisa... Lakini hawakujua kwamba safari hiyo ilikua ndiyo safari yao ya kuelekea mauti ✈️⚠️ Huu ni mkasa wa Helios Airways Flight 522 ndege iliyopata umaarufu kama "Ghost Flight" (Ndege ya Mizimu) baada ya kuruka peke yake angani kwa takribani masaa 3 huku kila mtu ndani akiwa amepoteza fahamu kutokana na ukosefu wa oksijeni (Hypoxia). Kitu cha kusikitisha zaidi? Janga hili lote lilisababishwa na SWICHI MOJA TU iliyosahaulika ardhini na mafundi kabla ya ndege kuanza safari! 💔 Sikiliza simulizi hii kamili kupata picha nzima ya kilichojiri dakika za mwisho angani. 🎙️👇 #ByteView #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #viral #trending

Mahmoud Mwanzemo
Mahmoud Mwanzemo
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 12:57:22 GMT
11385
445
4
20

Music

Download

Comments

cloud.mgen1
cloud :
Respect
2026-09-19 17:28:53
0
mrfocus_tz1
Mrfocus_tz ™  :
Daah aise inatisha sana
2026-09-19 14:28:03
1
hairelle_tz
hairelle_tz :
Izo nchi ni zipi Mbona sizifaham
2026-09-19 17:25:47
0
bm70032
Pöpŷ būžã 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
😳😳😳
2026-09-19 15:21:54
0
To see more videos from user @kidu_works, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About